matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kwenye simu moja hizo appsNina whatsapp app 4
Kila moja ina 6 group kasoro moja yenye 7
Total 25 groups
I love you more Kasie Asprin
Ninayo kama 8 hivi;
1/O'level
2/Advance
3/Kitaa
4/Masela
5/Langu binafsi nimeli-lock nalitumia kama diary
6&7/University yapo mawili - Social & one for news from CR (lipo locked) but Im NO longer a university student Ila sjajitoa.
8/La gospel [emoji851] hili group nliungwa na best yangu mlokole Ile mbaya but sjaii Ingia umo ndani kujua wanongelea nini since nimeungwa na kujitoa siezi maana jamaa ni admin atajihisi vibaya.
Naungwa mengi sana ya mpira na music Ila najitoa coz Im not a fan of football/music.View attachment 1379273
Muongezee na haya....Inategemea na level zako pamoja na umri..
Ukiwa ni muajiriwa utakua kwenye group la kazini.
Group la kanisani.
Group la form 4
Group la form 6
Group la chuo.
Group la michongo ya kazi.
Group la kabila lako.
Group la chama cha mapinduzi.
Group la ujasiriamali.
Group la wana (weekend outings)
Hesabu mangapi hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongezee na haya....
Group la jumuia unayosali
Group la maombi ya kiroho
Group la kusoma neno la Mungu
Group la ukoo
Group la mazoezi ya weekend
Group la jirani anayeozesha mtoto--hehehe
Group la mtaa- hili linaundwa na mwenye kiti serikali za mtaa
Sent using Jamii Forums mobile app