Una makundi mangapi ya WhatsApp?

umetisha...
 
Hamna link mkuu maana ni marufuku ku share link ili kuepuka mamluki. Pia ukitaka kuingia lazima upigwe interview ili kubaini kama kweli ni mwana Liverpool.

Nipo tayari kwa interview


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Hilo la kabila mnaongelea nini?
 
Mengi sana;
Group la familia, Wajukuu wa babu[emoji39], ukoo, lugha ya asili, kijiji, maendeleo ya kijiji, o level, a level, chuo, ukweni, magari, kubeti, majirani wa mtaa, maendeleo ya mtaa, kazini...duh!
 
La chuo

Advance

O level

Job/mishe


Yakina minah na wyvera kama manne hivi nadhani ma legendary wanaelewa


Dini


Sports

Pamoja na ya series na muvi kila siku zinatupwa huko ni mb zako tu

Kamati ya ndoa hili nimeleft ila wameni add tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda nipate group la wajasiliamali maana nina group 2 naona hazina faida


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…