Una mashaka na chakula cha sherehe mfano harusi au msiba nini cha kufanya?

Jchris14

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2019
Posts
1,158
Reaction score
2,711
Wakuu afya njema iwe nanyi.

Nina swali kwenu, mfano una mashaka au wasiwasi na usalama wa chakula cha sherehe fulani kama vile harusi au msiba nikiwa na maana ya labda kimefanyiwa ulozi au mavitu fulani ili kuchukua faida fulani kwa walaji.

Nini cha kufanya kwa haraka haraka hapo endapo kama utakuwa kwenye mazingira magumu ya kutokwepa kula tofauti na kuombea(prayer) chakula ili uwe salama au kukwepa huo ulozi?
Uzi tayari wakuu.
 
Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
Shukrani mkuu.
 
Huwa ni lazima kula kwenye matukio hayo?

Niweke rehani afya yangu kisa nitaonekanaje?

NB:Kwa wanaume wala hakuna anayejali kuhusu kula kwako ndiyo maana kuna daftari la waliotoa michango tu ila hakuna la waliokula.
 
Mkuu kuna namna fulani hizi mambo huwa na kama paparazzi hivi niseme, wale wachukua taarifa za watu. Mfano upo meza maalumu utakimbiaje maana kuna siku nawe utapata sherehe watakususia msosi wote.
 
Unaitwaje kwenye meza maalum ya walozi? Labda nawewe uwe mwanachama.
 
Mimi sili kitu ambacho nimekitilia shaka. Kwani kama mtu mzima unashindwaje kuamua kutokula?
Wakati mwingine uroho unawaponza watu. Mtu anaona ataachaje minyama kwenye sinia na mapochopocho mengine
 
Naam! Mwafrika na hekaheka zake!

1. Omba toba. Halafu itisha damu ya Yesu iufunike huo msosi. Kisha ufakamie kwa imani kabisa bila kusita sita wala kuogopa huku ukiamini kabisa kuwa msosi huo ni salama.

2. Chukua kipande kidogo cha mkaa na vipunje vichache tu vya chumvi ya mawe weka mfukoni. Piga huo msosi bila wasi wasiwasi.

3. Weka kipande cha kimfupa cha mbuzi wa Vatican katika mfuko wako wa kushoto.

4. Punje chache za vitunguu swaumu. Weka mfukoni.

5. Vaa chupi nje ndani

Angalizo: Njia ya kwanza ndiyo nina uhakika nayo. Hizo zingine ni maarifa bandia tu niliyoyasikia kule Usukumani maana inaamimika kwamba chakula cha kwenye misiba, harusi, mbina na shughuli nyingine huko vijijini (na hata mijini) ndiyo hunting grounds nzuri za watafuta nyota za watu na walozi. Na ukibananishiwa msibani au harusini ufunguzi wa tatizo huwa ni mtihani sana.
Hayo yote huletwa na uroho. Mimi nasema USILE

Wewe unaona sumu ujidanganye na jina la yesu. Utakufa kwa uroho mkuu
 
Back
Top Bottom