Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 955
- 1,582
ukikimbia then tatizo litokee watu wataanza kuunga dot!Mimi nakimbia naenda nje nakiacha au unafanyaje
Oh sawa kama ni wewe hiyo ndulele ipasue then changanya na chakula, tafuta iliyoiva vizuri. Ila kama unataka kuokoa wote usiipasue itafunie mdomoniHapa najitafta mwenyewe tu mkuu.
Utakula sumu shauriako...🤣
Omba kimoyomoyo tu Mungu anasikia na kukitakasa...