FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Unamaanisha pub au night club? Kama ni pub, unataka tukatumie wapi pesa zetu?Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Hahah mbona unatupangia matumizi ya fedha zetu sie wa 30+ utu uzima which? utu zima where?Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
kwanza mlishaacha kulamba lipsNaona wewe unataka kuwalaza njaa watoto wa watu.
Si tulishakubaliana nyie mnachoweza ni kuwachubua tu hlf asbh unampa buku jero ya nauli.
kwanza mlishaacha kulamba lips?
Ni dunia nzima tena afrika tuna unafuu huko dunia ya kwanza wanakwambia kabisa life begins at 40Mkuu unapoteza muda wako tu, Africa mtu wa miaka 30 anajiona bado mtoto, bado yuko kwenye umri wa kurukaruka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona unaamkiwa shikamoo na mabinti jua unaenda club kufedheheka, au ukiona unaanza kuitwa mjomba badala ya bro, jua umeaga mashindano
Wanafunzi hamna pesa sisi tunaenda kukamata mademu zenu tuwatengenezeeni njia mki waoa mkute tayari mtelezoUna miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Nimecheka sana aiseeeeUna miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
TrueKifo hakina umri,
Kijana anaweza kufa akamuacha mzee au mzima anaweza kufa na kumuacha mgonjwa,
Live the life u love,love the life u live.
HAOO 30 + NDIO TUNALILIWA CLUB HATUNA UBAHILI NYIE MNATOA 10000 MNATAKA NA CDM BUREE UWIIIUna miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
MwasibuHujioni fala kupangia watu maisha? Stop being primitive
Niambie mkuu wanguMwasibu
Duh... vijana tafuta pesa... miaka ya kufarahia maisha ni 55+Ukiona unaamkiwa shikamoo na mabinti jua unaenda club kufedheheka, au ukiona unaanza kuitwa mjomba badala ya bro, jua umeaga mashindano