Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
This thread can be used to explain why you are still very poor mentally.Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri? Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji. Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Na uzuri hata ukifa watu watutumia tuUwezo kama unaona Jenga tu mkuu.
Ukifikiria Sana hauwezi kufanya lolote hapa Duniani.
Hebu Angalia, baada ya kuhangaika kote hapa Duniani ila mwisho wa siku unakufa tu unaacha Kila kitu.
Kwahiyo kama uwezo unao, Jenga, kama hauna uwezo wa kujenga siyo lazima
Wao hawana mikono?Unajengea wajukuu
Kufikisha miaka hiyo ni nadra sana100 - 65 = miaka 35 ya kuishi duniani.
Kufanya hivyo ndio atarudi duniani?Anajenda nyumba siku akifa wafiwa wapate pakulala
Mikono wanayo ila hawana Hela π€£Wao hawana mikono?
Inawezekana mkuu, siyo wewe tu unaweza Kujenga kwa niaba ya watoto baadae ππKufikisha miaka hiyo ni nadra sana
Mpaka sasa hivi una visima vingapi vya mafuta hapo mashariki ya kati?This thread can be used to explain why you are still very poor mentally.
Kujenga ni mbwembwe tuUwezo kama unaona Jenga tu mkuu.
Ukifikiria Sana hauwezi kufanya lolote hapa Duniani.
Hebu Angalia, baada ya kuhangaika kote hapa Duniani ila mwisho wa siku unakufa tu unaacha Kila kitu.
Kwahiyo kama uwezo unao, Jenga, kama hauna uwezo wa kujenga siyo lazima
Kwa umri huo, wekeza kwenye mambo ya mbinguni tuTusipangiane
Kazi ni kipimo cha utu