Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #41
ule uzi wako mwingine ulisema nyumba yako ni kaburi lako.
hapa unahoji umuhimu wa nyumba shelter basic human need nyumba??
kwani ukifikisha miaka 70 au 100 unaacha kujitaji mahitaji muhimu ya mwanadamu kama nyumba
unashauri umri wa mwisho kuwa na nyumba uwe miaka mingapi?
Mwisho wa siku hapa duniani unaondoka na nini?Kuwa karibu na muumba wako kivipi wakati Mwinyi amekufa na miaka 97 assuming angekuwa amekusoma wewe miaka ya 88 huko halafu asijenge mpaka 2024 hali ingekuwaje?
Mwinyi nimemuweka kama mfano tu maana wapo wanaoondoka na umri wake tena na zaidi.
I come from a poor family
Kujenga mwisho miaka 45. Baada ya hapo kula tu bata
Pole mkuu, kama kweli umekuwa/kutokea kwenye familia ya kimasikini, si ajabu ukawa mbinafsi, mchoyo, usiyejali kuandaa ahueni "relief" kwa kizazi chako.
Umasikini ni zao la mambo mengi yakiwemo, kujifikiri mwenyewe, kutokujali wengine na ubinafsi.
Kama ungekuwa umekulia kwenye ahueni, ungeona kawaida wewe kuwaacha wengine ahueni.
Samahani, nimetumia lugha ya kukushambulia lakini sina nia mbaya.
toka zama za kale za mawe mwanadamu amekuwa akipambana na human basic need kama nyumba shelter,food,clothWengi tunajichosha na vitu visivyokuwa vya msingi, na kupelekea kufa kwa presha, sukari n.k yote ni kuwaza na kupambana na ya dunia tu.
nyumba ya kuishi tu sio utajiri...ni basic need ni hitaji la msingi tu la mwanadamu...na ni wajibu wako na kwa familia yako uliyoileta mwwnyewe duniani..toka zama za kale za mawe mwanadamu amekuwa akipambana na human basic need kama nyumba shelter,food,cloth
ambavyo ndio vitu basic
vitu vya msingi kwako ni vipi?? kama nyumba sio kitu cha msingi kwa mwanadamu,hata wanyama na ndege tunaowafuga majumbani kwetu tu nao pia tunawajengea nyumba za wao kuishi
Unahisi ni kwa nini jamii zingine haziwaheshimu wazee?vijana pia hufa hata watoto hufa kifo kinaweza kumpata yeyote muda wowote.Unaweza ukasema utakufa baada ya miaka 70...ukaishi miaka 120 inawezekana hakuna anayejua atakufa lini.
kuna jamii nyingi zinazowatunza na kuwathamini wazee wao na kuwaheshimu bila kuwatenga,
.
Tunawalazimisha hao viumbe kuishi kama sisi, tukiamini sisi tuna akili zaidi kuliko wao.vitu vya msingi kwako ni vipi?? kama nyumba sio kitu cha msingi kwa mwanadamu,hata wanyama na ndege tunaowafuga majumbani kwetu tu nao pia tunawajengea nyumba za wao kuishi
mada nyingine mpya hiyo ya heshima kwa wazeeUnahisi ni kwa nini jamii zingine haziwaheshimu wazee?
Unapambana huko kote ili iweje?Hakuna kikomo cha kutimiza ndoto, pambana jenga hata kama una miaka mia
Utatuandalia hiyo madamada nyingine mpya hiyo ya heshima kwa wazee
Kwenye nyumba za ibaka, wakisubiri siku ya bwanaUnataka wa 65 walale wapi, kwako au unataka wawe homeless
soma biblia imeelezea heshima kwa wazee na wazazi(tayari ipo kwenye biblia)Utatuandalia hiyo mada
Ya kustaafiaHuu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k
Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri?
Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji.
Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Huu ushauri unaweza kumshauri baba au mama yakoKwenye nyumba za ibaka, wakisubiri siku ya bwana
Biblia imeandikwa na watu kwa malengo maalumusoma biblia imeelezea heshima kwa wazee na wazazi(tayari ipo kwenye biblia)