Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #121
Kama waliopo wameshindwa kuisogeza taasisi mbele, wewe utawezaje?Nguvu mpyaa za skuizii changamoto Yan kijana mbichi anachowaza nimshahara tuu swala la kusogeza taasisi mbelee haimuhusu😂
Kuishi maisha niliyoyataka Kipindi Niko kijana...Ndio maana ukiwa kijana inabidi ukae chini utafakari unataka nini baadae?....Mm kusafiri Tu ndio itakuwa furaha yangu, hivyo mfuko lazima uwe umeshiba na ndio maana Ujana si wa kulegea.Ukifikisha miaka 65+ furaha yako itakuwa ni nini?
Wazo zuri sana, ukipata nafasi ukatembelee milima himalayaKuishi maisha niliyoyataka Kipindi Niko kijana...Ndio maana ukiwa kijana inabidi ukae chini utafakari unataka nini baadae?....Mm kusafiri Tu ndio itakuwa furaha yangu, hivyo mfuko lazima uwe umeshiba na ndio maana Ujana si wa kulegea.
Kila mtu ashinde mechi zake.Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k
Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri?
Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji.
Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Kabisa mkuu.Wazo zuri sana, ukipata nafasi ukatembelee milima himalaya
Kama ulikuwa huna nyumba, kujenga ni Ibada hivyo usifikiri kumtumikia Mungu ni kwenda Msikitini/kanisani pekee.Muda wa kumtumikia muumba na kutoa fungu la kumi bila kupunja wanaupata wakati gani?
Kwa nini wanastaafishwa wakifikisha huo umri?Kila mtu ashinde mechi zake.
Yeye anajenga kwa pesa zake, wewe inakuuma vipi?
Miaka 65 mbona michache sana..!? Anaweza kujenga akapangisha na kuendelea kufaidi mema ya nchi.
Kwani Trump ana miaka mingapi vile?
Kwa nini upo duniani?Kama ulikuwa huna nyumba, kujenga ni Ibada hivyo usifikiri kumtumikia Mungu ni kwenda Msikitini/kanisani pekee.
Kumbuka kuna watu waweza kuwa wanamtumikia Mungu kwa uzuri zaidi hasa wale wanaojua kusudi lao la kuwa hapa Duniani, kuliko wewe unayefanya kwa maigizo ya kusubiri umri uende ndio umtumikie Mungu.
Mungu anatumikiwa wakati wote wa ujana na uzee KWA KUWA HUJUI MUDA WALA SAA ya kutwaliwa!
Ushajiuliza kwa nini Mh Wassira au Mh JK bado anapambana?Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k
Ndoto kubwa ni ipi?Ushajiuliza kwa nini Mh Wassira au Mh JK bado anapambana?
Watu wenye ndoto kubwa hawazuiwi na kitu kinachoitwa muda
Kujenga nyumba😀Ndoto kubwa ni ipi?
Ndoto kubwa ni kwenda kufungua lango la hormuzKujenga nyumba😀
Na kuhakikisha Kodi za Watz unazipigaNdoto kubwa ni kwenda kufungua lango la hormuz
Ki vipi?Na kuhakikisha Kodi za Watz unazipiga
Kha! Kwanini uwajengee, wewe alikujengea nani, nguvu zako kula mwenyewe. Acheni kuwadekeza watoto na wajukuu, kama ulivyo pambana wewe wacha nao waje wapambane.Unajengea wajukuu
Kujenga jama unauwezo jenga,na kama nguvu za jazi unazo fanya kwa kujitegemea.Mimi Juni nafikisha 65 lakini ntaanza kujenga nyumba dodoma nimepata kiwanja na mali zangu watarithi watoto.JengaHuu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k
Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri?
Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji.
Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Alisha fariki huyo mzee, alianza maisha akiwa masikini mwenye umri mkubwa yani too late lakini Leo pesa zinaendelea kuflowKwa nini asiwekeze kwenye mambo ya mbinguni?
Kwa upande wako, wewe ulirithi za nani?Kujenga jama unauwezo jenga,na kama nguvu za jazi unazo fanya kwa kujitegemea.Mimi Juni nafikisha 65 lakini ntaanza kujenga nyumba dodoma nimepata kiwanja na mali zangu watarithi watoto.Jenga
Kwa hiyo anatamani aishi miaka 200?Alisha fariki huyo mzee, alianza maisha akiwa masikini mwenye umri mkubwa yani too late lakini Leo pesa zinaendelea kuflow