Una mpango wa ku-date na mke wa mtu? Zingatia haya

kunta93

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
754
Reaction score
1,512
1: Mke wa mtu unapiga mara Moja.ukinogewa shauri ako.

2: Tafuta njia mbadala ya kuwasiliana nae.iwe ya tofauti.mimi hua natumia email,natuma email ndefu af ujumbe unakua katikati

3: Usitumie guest/lodge Moja.ue unabadilisha badilisha ikibidi hata maeneo pia.leo unapgia kibaha,kesho mbagala keshokutwa mlandizi

4: Usimpe zawadi yoyote hasa ya gharama,i nayoonekana kirahisi.usitoe nafasi ya mwenye Mali kuhisi

5: Kutana naye siku ya kupiga tu,no going out.unakuta Mzee baba yuko Na wife wa mtu baa wanakunywa tena wanajiachia bro utabambwa utaiona Dunia chungu.hakikisha unakutana nae siku ya mechi tu

6: Usimwambie mtu, even your best friend wake za watu hua wasiri sana, tatizo Ni sisi wanaume
 
Um
Umeathiriwa na utawala wa CCM bwashee, tafuta kujikwamua kifikra maana azinie na mwanamke hana akili kabisa pimbi wewe
 
Waliosema za mwizi ni arobaini hawakukosea kuna siku utateleza na ndo utaelewa kwanini mke wa mtu sumu
 
Dunia bahati mbaya sana hainaga siri, unafikiri wanaofumaniwa huwa wanapenda?? Siku ikifika utafanya mistake ndogo sana mpaka unaweza kujitusi na utakamatwa na mafuta pembeni tena siku hizi nasikia wanatumia ya nazi kila la heri.
 
Usisahau kilainishi bro 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…