Una mpango wa ku-date na mke wa mtu? Zingatia haya

1; mke wa mtu unapiga mara Moja.ukinogewa shauri ako.

(Ikishindikana)

2:tafta njia mbadala ya kuwasiliana nae.iwe ya tofauti.mimi hua natumia email,natuma email ndefu af ujumbe unakua katikati

3;usitumie guest/lodge Moja.ue unabadilisha badilisha ikibidi hata maeneo pia.leo unapgia kibaha,kesho mbagala keshokutwa mlandizi

4:usimpe zawadi yoyote hasa ya gharama,i nayoonekana kirahisi.usitoe nafasi ya mwenye Mali kuhisi

5:kutana nae siku ya kupiga tu,no going out.unakuta Mzee baba yuko Na wife wa mtu baa wanakunywa tena wanajiachia bro utabambwa utaiona Dunia chungu.hakikisha unakutana nae siku ya mechi tu

6:usimwambie mtu,even your best friend.wake za watu hua wasiri sana,tatizo Ni sisi wanaume

Uzi tayari
7..usisahau kutembea na Vaseline..au kilainishi chochote.

Siku ukishikwa ugoni usiumie sana.
 
1; mke wa mtu unapiga mara Moja.ukinogewa shauri ako.

(Ikishindikana)

2:tafta njia mbadala ya kuwasiliana nae.iwe ya tofauti.mimi hua natumia email,natuma email ndefu af ujumbe unakua katikati

3;usitumie guest/lodge Moja.ue unabadilisha badilisha ikibidi hata maeneo pia.leo unapgia kibaha,kesho mbagala keshokutwa mlandizi

4:usimpe zawadi yoyote hasa ya gharama,i nayoonekana kirahisi.usitoe nafasi ya mwenye Mali kuhisi

5:kutana nae siku ya kupiga tu,no going out.unakuta Mzee baba yuko Na wife wa mtu baa wanakunywa tena wanajiachia bro utabambwa utaiona Dunia chungu.hakikisha unakutana nae siku ya mechi tu

6:usimwambie mtu,even your best friend.wake za watu hua wasiri sana,tatizo Ni sisi wanaume

Uzi tayari
Kwa nini wake za watu labda? Vipi ikiwa huyo mke wa mtu atakaye zungumiziwa na mwingine awe ni mkeo.ungependa kusikia?
 
Ukiwa na mbinu huwezi kukamatwa, Nakula mke wa mtu, 3 years now..
1. Ana simu ndogo ambayo anaiacha ofisini tu na hiyo ni special kwa kuwasiliana na kufanya meeting,
2. Hakuna yeyote anayejua mahusiano yetu, hata wa kuhisi tu hakuna.
3. Kuonana ni siku ya mechi tu na hakuna kuacha foot step
4. Mumewe hanijui kabisa, Ila mi namjua A/Z.
nb: wanaume walevi asilimia kubwa ndo wanagongewa Sana wake zao.
 
Uwe unatembea na Mafuta ya Alizeti au Mgando ili kuwarahisishia wanaume watakapoanza kukuchakata utumbo mpana.
 
1; mke wa mtu unapiga mara Moja.ukinogewa shauri ako.

(Ikishindikana)

2:tafta njia mbadala ya kuwasiliana nae.iwe ya tofauti.mimi hua natumia email,natuma email ndefu af ujumbe unakua katikati

3;usitumie guest/lodge Moja.ue unabadilisha badilisha ikibidi hata maeneo pia.leo unapgia kibaha,kesho mbagala keshokutwa mlandizi

4:usimpe zawadi yoyote hasa ya gharama,i nayoonekana kirahisi.usitoe nafasi ya mwenye Mali kuhisi

5:kutana nae siku ya kupiga tu,no going out.unakuta Mzee baba yuko Na wife wa mtu baa wanakunywa tena wanajiachia bro utabambwa utaiona Dunia chungu.hakikisha unakutana nae siku ya mechi tu

6:usimwambie mtu,even your best friend.wake za watu hua wasiri sana,tatizo Ni sisi wanaume

Uzi tayari
Kwani anasema uongo ndugu zangu?
 
Dunia bahati mbaya sana hainaga siri, unafikiri wanaofumaniwa huwa wanapenda?? Siku ikifika utafanya mistake ndogo sana mpaka unaweza kujitusi na utakamatwa na mafuta pembeni tena siku hizi nasikia wanatumia ya nazi kila la heri.
[emoji1787]
 
1; mke wa mtu unapiga mara Moja.ukinogewa shauri ako.

(Ikishindikana)

2:tafta njia mbadala ya kuwasiliana nae.iwe ya tofauti.mimi hua natumia email,natuma email ndefu af ujumbe unakua katikati

3;usitumie guest/lodge Moja.ue unabadilisha badilisha ikibidi hata maeneo pia.leo unapgia kibaha,kesho mbagala keshokutwa mlandizi

4:usimpe zawadi yoyote hasa ya gharama,i nayoonekana kirahisi.usitoe nafasi ya mwenye Mali kuhisi

5:kutana nae siku ya kupiga tu,no going out.unakuta Mzee baba yuko Na wife wa mtu baa wanakunywa tena wanajiachia bro utabambwa utaiona Dunia chungu.hakikisha unakutana nae siku ya mechi tu

6:usimwambie mtu,even your best friend.wake za watu hua wasiri sana,tatizo Ni sisi wanaume

Uzi tayari
We jamaa umekaa kabisa kwa kulidhika ukaanzisha mada ya kufundisha watu namna ya kuzini na wake za watu?
 
Hata ikipita miaka kumi na ulitembea nae mwanaume akijua hakuachi.

Acha acha kabisa wake za watu.Stop disrespecting your fellow brothers.

UTAKUFA.
 
Mapenzi huwa hayajifichi mzee.ukitembea na mke wa mtu jamaa atajua tu.
Akijua utaishi kwamashaka na wasiwasi mwingi sana.
Ningesimulia kisa cha kweli ila sitafanya hivyo kwa sababu za kimaadili.
Niishie hapo
 
1: Mke wa mtu unapiga mara Moja.ukinogewa shauri ako.

2: Tafuta njia mbadala ya kuwasiliana nae.iwe ya tofauti.mimi hua natumia email,natuma email ndefu af ujumbe unakua katikati

3: Usitumie guest/lodge Moja.ue unabadilisha badilisha ikibidi hata maeneo pia.leo unapgia kibaha,kesho mbagala keshokutwa mlandizi

4: Usimpe zawadi yoyote hasa ya gharama,i nayoonekana kirahisi.usitoe nafasi ya mwenye Mali kuhisi

5: Kutana naye siku ya kupiga tu,no going out.unakuta Mzee baba yuko Na wife wa mtu baa wanakunywa tena wanajiachia bro utabambwa utaiona Dunia chungu.hakikisha unakutana nae siku ya mechi tu

6: Usimwambie mtu, even your best friend wake za watu hua wasiri sana, tatizo Ni sisi wanaume
Hahaha
 
Back
Top Bottom