PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Dawa yako ipo jikoni inachemka, utakipata unachokitafuta.Mshahara wa dhambi ni mauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa yako ipo jikoni inachemka, utakipata unachokitafuta.Mshahara wa dhambi ni mauti.
HahahaDunia bahati mbaya sana hainaga siri, unafikiri wanaofumaniwa huwa wanapenda?? Siku ikifika utafanya mistake ndogo sana mpaka unaweza kujitusi na utakamatwa na mafuta pembeni tena siku hizi nasikia wanatumia ya nazi kila la heri.