Una mshikaji wako ambaye nusura aingizwe chaka na 'fursa' za mtandaoni?

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu

Kuna huyo jamaa yangu yeye huwa anapenda kitonga '😂kuna siku akatumiwa link na mtu huko Whatsapp akiambiwa akitaka kupata bando abovye hiyo link kilichofuata hapo ni huzuni akaunti zake zikadukuliwa.

Kwa sasa zile akaunti zake za mitandao ya kijamii ikiwemo facebook zinanitumia text kunishawishi na mimi nibofye hiyo link kupta ofa.
 
Unanikumbusha mbali sana....ila nilishtuka habari za link no no no Big NO 🙂‍↔️
 
Ukipenda mteremko unakuwa kwenye hatari kubwa ya kupigwa mtandaoni.
 
Back
Top Bottom