Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Unanikumbusha mbali sana....ila nilishtuka habari za link no no no Big NO 🙂↔️Wakuu
Kuna huyo jamaa yangu yeye huwa anapenda kitonga '😂kuna siku akatumiwa link na mtu huko Whatsapp akiambiwa akitaka kupata bando abovye hiyo link kilichofuata hapo ni huzuni akaunti zake zikadukuliwa.
Kwa sasa zile akaunti zake za mitandao ya kijamii ikiwemo facebook zinanitumia text kunishawishi na mimi nibofye hiyo link kupta ofa.
Hahaha eti GB za bure 😂. Ogopa MkuuUnanikumbusha mbali sana....ila nilishtuka habari za link no no no Big NO 🙂↔️
Umeshtuka nini?Unanikumbusha mbali sana....ila nilishtuka habari za link no no no Big NO 🙂↔️
Wanakutamanisha ila wanalao jambo...Kabisa 🙏 ShutkaaHahaha eti GB za bure 😂. Ogopa Mkuu
Kamtego...Umeshtuka nini?
OkayKamtego...
HUjawai kuambiwa Azam wanata zawadi za Eid? hahah ila umasikiniDuh... kumbe!
Wewe ndiyo unageuka bidhaa ukiona hivyo😂😂Wanakutamanisha ila wanalao jambo...Kabisa 🙏 Shutkaa
Wakuu
Hahahahha siyo kweli mkuu, wewe umeshawahi kupishana?Acha woga bofya link hiyo utapishana na gari la mshahara
Pole sana MkuuNilinusurika kutapeliwa elfu 12
Wakati natafuta ajira.
Inabidi tufanyaje Mama Samia?Ukipenda mteremko unakuwa kwenye hatari kubwa ya kupigwa mtandaoni.
asante brooPole sana Mkuu