Una ndoto ya kwenda kusoma Chuo kikuu Cha Harvard? Fanya haya

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimekomaa sana aunt hadi nimekuwa kama kibaka wa simu
Wakat wa Mungu ndio wakat sahihi usikate tamaa mm nimesota mtaani 5 yrs nikatoboa siku ambayo sikutegemea na sikuwa na mpango Tena wa ajira nilikuwa na mishe zangu mtaani Tena had application mdogowangu ndo alinifanyia sikuwa na mpango kabisa ila kumbe Ilikuwa ndo sikuyangu
 
Sasa aunt miaka mitano, mie paka sasa hivi nina miaka 13 kibindoni ya kusota πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mtoto anaanza la kwanza hadi amemaliza mzee baba nasugua gaga
 
Havard ni vitu viwili tu

1. HELA
2. AKILI (hii ni kwa watu wa dunia ya 3 ikiwemo Tanzania)

Havard wanapenda watu wenye achievement zinazoonekana wazi.

Mfano diamond akiomba nafasi havard kusomea mambo ya music nafasi wanampa bila shida. Maana tuzo zake tu alizopata kwenye music zinambeba.

Millard ayo akiomba kusomea uandishi habari havard. Nafasi ana uhakika wa kuipata. Huku mwanafunzi ambaye amepata div 1 kalii ananyimwa nafasi wa hiyo kozi

Extracallicular activities zina mchango mkubwa kupata nafasi vyuo vikuu vya ivy league kuliko performance ya darasani alone.

Tofauti na udsm wao wanaangalia maksi za darasani tu
 
Kumbe Sasa sisi wa la Saba B ndo vile tena
 
Back
Top Bottom