Una ndoto ya kwenda kusoma Chuo kikuu Cha Harvard? Fanya haya

Muwe na kipaji. Kuna watu wanapewa nafasi vyuo vikuu vikubwa marekani tena kwa scholarships huku hawajui kusoma wala kuandika vizuri.

Ubora wao kwenye sports na extra callicular ndio sababu ya kupewa hizo nafasi
Kumbe mm nilikuwa napendasana physical education na sports science na nilikuwa vizuri kwenye practice za michezo ila sikuwa na akilπŸ˜€sikufaulu biologyπŸ˜‚
 
Kumbe mm nilikuwa napendasana physical education na sports science na nilikuwa vizuri kwenye practice za michezo ila sikuwa na akilπŸ˜€sikufaulu biologyπŸ˜‚

Sio michezo ya kuishia mitaani mitaani.

Kama ni mpira ama basketball ufikie levo ya kucheza timu ya taifa .

Mfano wachezaji wa timu ya taifa ya vijana under 20 wale waliocheza kombe la dunia . Watu kama wale ndie wanapaswa kuomba nafasi ya kusoma vyuo vikubwa duniani kupitia michezo.

Kama unakimbia riadha uwe levo za kuwakilisha nchi yako kwenye olimpic
 
Naelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…