tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Bible hiyoAnasoma kitabu gani hapo? Isije nikamtia moyo kumbe anasoma story za Shigongo.
Namwambia biblia haiwezi kumchomoa hapo zaidi ya kumfariji tuBible hiyo
Ofcourse, inategemeana na vile anaitumia. Akiitumia ku grab knowledge ,is okay, knowledge itamtoa.Namwambia biblia haiwezi kumchomoa hapo zaidi ya kumfariji tu
We nae akili zako sijui unawazaga niniAnasoma kitabu gani hapo? Isije nikamtia moyo kumbe anasoma story za Shigongo.
Acha kuandika ujinga na mambo ya kutafuta sifa mitandaoni mjinga mkubwa weweAnasoma kitabu gani hapo? Isije nikamtia moyo kumbe anasoma story za Shigongo.
Unazungumzia biblia hii ambayo inasema usisumbukie maisha , angalia hata ndege wa angani awalimi wala kupanda au unazungumzia ipi?Ofcourse, inategemeana na vile anaitumia. Akiitumia ku grab knowledge ,is okay, knowledge itamtoa.
Ujue wengi hudhani biblia ninkwaajili ya mambo ya dini dini tu
Sifa yake hapo ni ipi ?Acha kuandika ujinga na mambo ya kutafuta sifa mitandaoni mjinga mkubwa wewe
Wajumbe wamekua wakali si mchezoSifa yake hapo ni ipi ?
Mtu analeta makasiriko bila sababu ya msingi 😅Wajumbe wamekua wakali si mchezo
😁😁Mtu analeta makasiriko bila sababu ya msingi 😅
Literally hicho ndio mtu anaweza elewa lakini kimantiki kuna mambo mengi ya kuyaelewaUnazungumzia biblia hii ambayo inasema usisumbukie maisha , angalia hata ndege wa angani awalimi wala kupanda au unazungumzia ipi?
Nikisema biblia ni kitabu kinachoyumbisha mtu kwa kujipinga chenyewe nitakua nakosea ? Ukitoka hapo unakutana na mstari unasema asiye fanya kazi na asile🤔Literally hicho ndio mtu anaweza elewa lakini kimantiki kuna mambo mengi ya kuyaelewa
Umeandika ujinga Leo mkuuAnasoma kitabu gani hapo? Isije nikamtia moyo kumbe anasoma story za Shigongo.