Una neno gani la kumtia moyo huyu binti?

Una neno gani la kumtia moyo huyu binti?

Kabisa usiache jiwe juu ya jiwe
Kabisa 🤣🤣🤣. Mpaka afufue mafekero yake yote. Eti kila fekero baada ya kureply tu na last seen ndio hapo hapo. Alikuwa anafanya kazi ya kulog in anacomment analog out anaingiza nyingine. Nimecheka sana🤣🤣🤣🤣
 
Binti akachukue mafuta ya upako amwage kwenye kilinge cha ndizi, naamini atauza mikungu
 
Kama anasoma bible
basi angalau methali ,Mhubiri na wimbo ulio bora ya mwamba suleman!
 
NINGE MWAMBIA MUNGU humpa amtakaye na humnyima amtakaye. Angalia walimu, maostadh na wachungaji WA haki life wanalo ishi. Tofauti Yao na jera ni sare TU na uhuru kidogo.



Kwishaaa
Watu wanatoa picha na story inawekwa wajadili lakin watu wanahamisjia maugomvi yao kutoka post nyengn wanaendelea kutukanana hii ndio tz hakun unachofaidi kwenye social network
 
Nikisema biblia ni kitabu kinachoyumbisha mtu kwa kujipinga chenyewe nitakua nakosea ? Ukitoka hapo unakutana na mstari unasema asiye fanya kazi na asile🤔
Hakijipingi na hakijawahi kujipinga. Muktadha,muktadha,muktadha. Hayo maandiko uliyonukuu ni kwa ajili ya kumpa mtu balance Kati ya Tamaa na Uvivu.
 
Back
Top Bottom