Una neno gani la kumtia moyo huyu binti?

Una neno gani la kumtia moyo huyu binti?

Nikisema biblia ni kitabu kinachoyumbisha mtu kwa kujipinga chenyewe nitakua nakosea ? Ukitoka hapo unakutana na mstari unasema asiye fanya kazi na asile🤔
Ahahaha..ndio maana unahitaji kukaa chini uijue bible jinsi ulivyo msitu mnene. Achana na hawa wachungaji njaa njaa na wakristo wa kwa mwamposa .
Mimi napenda sana kujifunza Biblia na hainichanganyi hata
 
Hizo ID unakuta mara ya mwisho kucomment mara ni April mara nyingine June halafu ndio zimerudi ghafla leo eti kunijibu hiyo commet🤣🤣🤣
Nikiwa kama mkongwe humu, hiyo michezo naijua🤣
Ma parody kama manne, ulimfanya nini mkuu?
 
NINGE MWAMBIA MUNGU humpa amtakaye na humnyima amtakaye. Angalia walimu, maostadh na wachungaji WA haki life wanalo ishi. Tofauti Yao na jera ni sare TU na uhuru kidogo.



Kwishaaa
 
Mi ushauri wangu akiona wateja wa shida atembeze kidogo kidogo mpaka zinaisha.


Akikaza hivyo kwa miezi mi3 mfululizo akuze biashara, after 5 years atakua anafuata ndizi bukoba kwa kutumia mafuso.
 
Back
Top Bottom