Kabisa 🤣🤣🤣. Mpaka afufue mafekero yake yote. Eti kila fekero baada ya kureply tu na last seen ndio hapo hapo. Alikuwa anafanya kazi ya kulog in anacomment analog out anaingiza nyingine. Nimecheka sana🤣🤣🤣🤣Kabisa usiache jiwe juu ya jiwe
Aloo ugomvi umeuvaa kama wako, au mko pamoja mnatwanga vyombo.??Nimeshangaa tu binti wa watu kuvamiwa bila sababu za msingi
Kwa jinsi polepole anavyowapeleka puta fisiemu. Huyo dogo anaweza kuja kuwa mbunge
Hahahaha hapana mkuuAloo ugomvi umeuvaa kama wako, au mko pamoja mnatwanga vyombo.??
Watu wanatoa picha na story inawekwa wajadili lakin watu wanahamisjia maugomvi yao kutoka post nyengn wanaendelea kutukanana hii ndio tz hakun unachofaidi kwenye social networkNINGE MWAMBIA MUNGU humpa amtakaye na humnyima amtakaye. Angalia walimu, maostadh na wachungaji WA haki life wanalo ishi. Tofauti Yao na jera ni sare TU na uhuru kidogo.
Kwishaaa
Hakika huyu ndiye rafiki wa kweliAloo ugomvi umeuvaa kama wako, au mko pamoja mnatwanga vyombo.??
Hakijipingi na hakijawahi kujipinga. Muktadha,muktadha,muktadha. Hayo maandiko uliyonukuu ni kwa ajili ya kumpa mtu balance Kati ya Tamaa na Uvivu.Nikisema biblia ni kitabu kinachoyumbisha mtu kwa kujipinga chenyewe nitakua nakosea ? Ukitoka hapo unakutana na mstari unasema asiye fanya kazi na asile🤔
UmejuajeHakijipingi na hakijawahi kujipinga. Muktadha,muktadha,muktadha. Hayo maandiko uliyonukuu ni kwa ajili ya kumpa mtu balance Kati ya Tamaa na Uvivu.
Muktadha wa mnenaji/mwandishi.Umejuaje
Bora uwaachie watu wenye weledi wajibu tuMuktadha wa mnenaji/mwandishi.
Nami huo ndio weledi wangu!Bora uwaachie watu wenye weledi wajibu tu
🙏Nami huo ndio weledi wangu!
Daah mzigo wote unaenda kuoza huo alafu ukute ndio mtaji.