Una nyoa baada ya muda gani?

Una nyoa baada ya muda gani?

Swali kwenu wabobezi na watafiti wa hili jukwaa....

Huwa una shave shamba la kufugia nywelw/kubebea meno (I mean kichwa cha juu) kila baada ya muda gani?

Ni wiki, wiki 2 ,mwezi au mwaka?

Binafs kwangu kunyoa naonaga karaha sana.......
Ukiona nimeenda saluni ujue masikio tayar yashafunikwa na nywele hayaonekani......
NaweA kuvuta hata 2 months....

Tuambie wewe unazifugaga mda gani

Ramadhan Kareem
Uzi tayar
Kila baada ya siku mbili
 
Tangu nizaliwe sjawah nyolewa, wazaz hawakuninyoa mpk sasa na me sion haja ya kuwa nanyoa tupo tunanywele zetu tangu kuzaliwa 😊.



Nazpenda pia😊
 
Nilinyoa mwaka Jana mwezi January..sidhani Kama nitanyoa tena

Naendelea kusoma comments
 
Back
Top Bottom