Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Iyo ya mtungo ilikuwaje
 
Wa kigomasio
 
Kuna sheikh pale Mloga, a litakuwa kufanyiwa surgery. Mda ukawadia na ajabu akamwachia Dr simu na kumpa warning kabisa, ikitokea nimekufa telekeza simu yangu, hakikisha humpi mtu...ALISISITIZA!!
Uyo jamaa safi kabisa uyo
 
H

🀣🀣🀣 hapo huwezi ase zaidi ya kushangaa tu
 
Aibu sana vingine vibaki moyoni tu sio vya kuhifadhi kwenye simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…