Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Ukisema uingie kwenye mahusiano wakati bado unajitafuta itakugharimu fedha ambayo ungeipeleka kwenye mambo ya msingi na ukisema ujitafute kwanza wanawake watakuja kwako wapate security tu ila sio mapenzi. Haya mambo ni kizungumkuti, ila bora ujitafute kwanza ndio uupoe mwali lakini akikisha hautumii pesa kama chambo ya kumpata ikiwezekana mpitishe kwenye majaribu ya hali ngumu kiuchumi ili kumpima kwanza.