Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Huko mwisho ndio umeharibu. Dunia hii huyo dem wa kumpitisha kwenye majaribu wamebaki kwenye muvi za mkojani tu.Ukisema uingie kwenye mahusiano wakati bado unajitafuta itakugharimu fedha ambayo ungeipeleka kwenye mambo ya msingi na ukisema ujitafute kwanza wanawake watakuja kwako wapate security tu ila sio mapenzi. Haya mambo ni kizungumkuti, ila bora ujitafute kwanza ndio uupoe mwali lakini akikisha hautumii pesa kama chambo ya kumpata ikiwezekana mpitishe kwenye majaribu ya hali ngumu kiuchumi ili kumpima kwanza.
Sawa mkuu jitafute okota slay queen moja matata sana muoeHuko mwisho ndio umeharibu. Dunia hii huyo dem wa kumpitisha kwenye majaribu wamebaki kwenye muvi za mkojani tu.
πππ ili niungue sio. Naijua hioSawa mkuu jitafute okota slay queen moja matata sana muoe
Sasa mkuu pesa ipo na kumpitisha kwenye majaribio kwako ni kupoteza muda tu basi opoa mwali weka ndaniπππ ili niungue sio. Naijua hio
Tunazungumzia mali walizochuma mkuu ikitokea wame separate basi itabidi wagawane tu bila dhuluma mkuu.Unajua changamoto haiko hapo tu hata kuna wengine wadada wanaanza maisha na washkaji zao ila baadaye wanazingua wanabadilika totally wanasahau hata walioanza nao
Hio sio shida , tatizo tunahitaji babes zilizo na real love, hizo pesa mbona watapata, ila sio fake love alafu bado nakuhudumia kwangu ni BIG NO.Wanawake wote wanahitaji financial security kutoka kwa wanaume.
Ni uongo kusema kuna mwanamke ambaye haitaji pesa ya mwanaume.
Vyote kwa pamoja πPressure ya mitandao inawatoa watu wengi mchezoni, saiv taarifa nyingi ni rahis kuzipata na ujana tunaushare kidunia.... Sasa unakuta mtu ana miaka 24/25 anaskia mahali kuwa mtu wa umri wake kafanya makubwa ana nyumba, uwekezaji wake & usafiri na yy bila kujiuliza vzr analipuka tu...anapata demu huku mishe zake per month zinampa 100k-1M mwisho wa siku no progress, ndo unaanza kuona mada kama hzπ niwe na demu? Au nitafute pesa? Au nibebe vyote kwa pamoja?
Kwa mjini lazima ugharamie, kugharamia kunahitaji fedha.Kivipi yanahitaji fedha
Hapa tukubaliane wanawake wasiwe kipaumbele kabisaKwani kuna mtu ametoa kauli kwamba hupati Tena hela so ale pia maisha akipata hela sio kila hela unayopata unakuwa unaeekeza tu nyingine matumizi kuhusu wanawake asikubali mtu anayeringa wa kumpa stress.
sawa mkuu, ila mimi nilishajiamulia nisipopata mwanamke wakat huj najitafuta ndio basi, ikitokea nimepata ikiwa nimeshajipata labda huyo manzi atokee rich family au mwenye exposure ya hela angalau bila ivo SIJUI.Mwisho wa siku hapo Kuna msingi haukuwekwa vizuri bado kijana atakuwa na msongo baada ya hayo yote
Muhimu usiyape kipaumbele sana.Sema ukisema ujitafute then upate hayo mafanikio sasa, wengi watakao kuja ni GOLD DIGGERS TU, hizi mambo ni kuacha nature ifanye kazi tu.
Mpaka sasa mapenzi yashaniponyokaKwani hajui mshika mawili moja humponyoka.??
Hahaha kweli nimeamini masikini hatupendanisawa mkuu, ila mimi nilishajiamulia nisipopata mwanamke wakat huj najitafuta ndio basi, ikitokea nimepata ikiwa nimeshajipata labda huyo manzi atokee rich family au mwenye exposure ya hela angalau bila ivo SIJUI.