Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Kwa hiyo ma daktari wakiwa wengi basi vyuo vya udaktari vifungwe, au kwa vile wanasheria ni wengi na mahakama ni chache basi vyuo vya sheria vifungwe, 🤪🤪🤪 we kweli hamnazo..Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
Sawa mkuu madaktari wanaweza kufungua maabara za Kati wakajiajiri pia wanasheria wanaweza kuwa mawakili wa kujitegemea Sasa Mwalimu ajenge shule? Mtaji anao?Kwa hiyo ma daktari wakiwa wengi basi vyuo vya udaktari vifungwe, au kwa vile wanasheria ni wengi na mahakama ni chache basi vyuo vya sheria vifungwe, 🤪🤪🤪 we kweli hamnazo..
Kwa wale waliosoma Bachelor of Art with Education, wanajifunza mambo mengi sana nje kabisa na kufundisha. Hii degree haikuandai kuwa mwalimu tu. Unaweza kufanya shughuli zingine kabisa nje ya kufundisha . Jambo la mwisho si kila mtu anaweza kupata ajira serikalini ,ipo pia sekta binafsi.Una Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule
Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
Si ndio maana kuna private schoolsSawa mkuu madaktari wanaweza kufungua maabara za Kati wakajiajiri pia wanasheria wanaweza kuwa mawakili wa kujitegemea Sasa Mwalimu ajenge shule? Mtaji anao?
Ni sawa tu na serikali kutaka kila mtanzania awe na bima ya afya wakati huduma za afya ni mbovu! Ni biashara tu.Una Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule
Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
Ili kuongeza majobless mtaaniUna Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule
Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?