Hili suala la religion limetoka wapi tena?My friend, Sisiemu is better now than ever before. Usidanganyike! But don't mix religion and politics, utawehuka. Hiyo ni field nyingine kabisa na kuna namna Mungu anavyodeal na watu hao. Siyo kwa fikra zako hizo za wivu, hasira, chuki na husda!
Didn't get any of these nonsense you wrote herein. I repeat religion is NOT God and God is NOT religion, dini was merely brought to scare people. Mkuu soma "The Council of Nicea," huu upuuzi wa dini ni usanii tu. Get over it!
Tunshukuru kwa jibu lakini "what's goes around comes around" hiyo si maana yakeKarma ni imani ya Hindu na Budha huamini kuwa ukifanya jema utalipwa jema na ukifanya baya utalipwa baya (litakurudia) sawa na msema "what's goes around comes around"
Neno hili sasa linatumika kwa jamii zote.
Sijasema ni maana ya Karma ila ni mfano wa KarmaTunshukuru kwa jibu lakini "what's goes around comes around" hiyo si maana yake
Mbona hata unge ' Google ' tu Mkuu ungepata Ufafanuzi wa Kina tu huko huko kuliko mpaka kuja Kuuliza Wadau JF? Huwa napenda mno nikiona Mambo yanayoulizwa hapa JamiiForums yawe ni yale mazito mazito ya Kufanya hata ' Brains ' zetu zihangaike katika Kufikiri na Kuyajadili ( Kuyadadavua ) kwa Kina kama ' Great Thinkers ' na haya mengine tuwaachie wale wenye ' Shallow Mindsets ' wa huko Facebook na Instagram wayajadili.Jaman me nauliza maana ya karma, kwa anayejua anieleweshe.
enhee! maana ya whats goes around comes around ni nini!?!?Tunshukuru kwa jibu lakini "what's goes around comes around" hiyo si maana yake
Huu muda ulio tumia kuandika hii riwaya ungempa jibu wala usingepoteza muda wote huoMbona hata unge ' Google ' tu Mkuu ungepata Ufafanuzi wa Kina tu huko huko kuliko mpaka kuja Kuuliza Wadau JF? Huwa napenda mno nikiona Mambo yanayoulizwa hapa JamiiForums yawe ni yale mazito mazito ya Kufanya hata ' Brains ' zetu zihangaike katika Kufikiri na Kuyajadili ( Kuyadadavua ) kwa Kina kama ' Great Thinkers ' na haya mengine tuwaachie wale wenye ' Shallow Mindsets ' wa huko Facebook na Instagram wayajadili.
sahihi kabisaHuu muda ulio tumia kuandika hii riwaya ungempa jibu wala usingepoteza muda wote huo
great thinker utakuwa wewe? Waafrika tunashida sana. Ungekua Great thinker si ungekua unafanya kazi na kina Microsoft saiz!Mbona hata unge ' Google ' tu Mkuu ungepata Ufafanuzi wa Kina tu huko huko kuliko mpaka kuja Kuuliza Wadau JF? Huwa napenda mno nikiona Mambo yanayoulizwa hapa JamiiForums yawe ni yale mazito mazito ya Kufanya hata ' Brains ' zetu zihangaike katika Kufikiri na Kuyajadili ( Kuyadadavua ) kwa Kina kama ' Great Thinkers ' na haya mengine tuwaachie wale wenye ' Shallow Mindsets ' wa huko Facebook na Instagram wayajadili.
We ndo unazidi kumchanganya Jamaa Hilo neno la kwanza analitafutia maana na wewe unamuongezea lingine.karma is a bitch ....ushaelewa sasa
Cc Pascal MayallaJaman me nauliza maana ya karma, kwa anayejua anieleweshe.
Mmezidi uzembe na uvivu. Ingia Google faster.Jaman me nauliza maana ya karma, kwa anayejua anieleweshe.
Upatacho kutokana na matendo yakoJaman me nauliza maana ya karma, kwa anayejua anieleweshe.