Nay!Hakuna kitu cha KARMA kihalisia nje ya msemo.
Hapo ungeniambia kitu kinacho relate na saikolojia kulingana na namna mtu anavyo perceive jambo kwa negative way ndivyo anavyozidi kujikuta anapata madhara ningekuelewa
My friend, Sisiemu is better now than ever before. Usidanganyike! But don't mix religion and politics, utawehuka. Hiyo ni field nyingine kabisa na kuna namna Mungu anavyodeal na watu hao. Siyo kwa fikra zako hizo za wivu, hasira, chuki na husda!Sasa karma mbona hamuondoi ccm madarakani pamoja na maovu yake yote?
Iliwahi kunikuta nikiwa karani, siku nikizidishiwa fedha nikakauka lazima siku hiyo nipate shoti. Hadi niliacha hiyo Tabia.Hii Karma inanisumbua sana. Nikimuibia mtu kitu mm naibiwa/ kupoteza Kikubwa zaidi hadi naumia sana.
Imagine Naiba earphones hata elfu 20 hazifiki napoteza simu ya milioni 1.5
Na sauti ya karma inanijia
Grena Aisee Naomba kuuliza Wanabodi hii karma inaingia hadi kwnye Mapenzi like kuto mpenda anae kupenda ? ?Yes. Karma is real
Kwa comment hii am blessedKuna watu tumefanyiwa Mambo ya ajabu Sana na watu tuliowaamini na kuwathamini
Kitu kimoja kikubwa nmejifunza kuhusu maisha
Ni kwamba It goes on
Nasamehe nasamehe , nasamehe kwa faida ya moyo wangu
Kama karma IPO sawa
Usikute na Mimi nalipa Mambo ya mzee wangu
Samehe endelea na maisha sifuatilii anaendeleaje
Atajua mwenyewe kikubwa nahakikisha na mafanikio makubwa
Yani Namanisha hivi unakuta Mtu anapendwa lakini yeye hapendeki anamfanyie visa tuu kumuumiza mwenzie kwa maksudiSijaelewa swali Mkuu. Unampenda mtu hakupendi ama?
Mkuu Karma kwahuyo anayemnyanyasa mwenzake kisaikolojia ipo. Heri akwambie hakutaki uachane nae kushinda akufanyie Visa. Atakuja kumpenda mtu na yeye atafanyiwa vimbwanga vyote anamvyomfanyia mwenzake Tena hata zaidi ya hivyo.Yani Namanisha hivi unakuta Mtu anapendwa lakini yeye hapendeki anamfanyie visa tuu kumuumiza mwenzie kwa maksudi
Mfano; anapigiwa simu hapokei, wanafanya appointment haendi yani maksudi tuu kwakua hampendi
Ubaya huu nao ukoje utamrudia ukiangalia ni mapenzi hap
Aisee sawa sawa, ukifikilia sana hii ngoma inatishaMkuu Karma kwahuyo anayemnyanyasa mwenzake kisaikolojia ipo. Heri akwambie hakutaki uachane nae kushinda akufanyie Visa. Atakuja kumpenda mtu na yeye atafanyiwa vimbwanga vyote anamvyomfanyia mwenzake Tena hata zaidi ya hivyo.
Hii ndio karma. Soma hapa>>> Ukitenda wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe ila ukawalipa watoto au wajukuu zako
poaKweli mkuu Afande