Unaazaje kumueleza Mkeo kuwa una mtoto nje ya ndoa, Mwanamke unalipokeaje kutoka kwa Mumeo?

We nikikuletea leo mchana utafanyaje???????
 
Kama ni mtoto kabla hujanioa its okey

Ila kama ni mtoto umempata kwa michepuko yako usiniambie aisee
 
Yaani mie kama ni mtoto, niachwe hadi nifikee chuo kikuu ndio nitambulishwe? Nawakataa wote baba na familia yake siwataki tena.

Wa nini hata sina nao historia, aku nabaki na wale walle wwalionilea wananitosha kabisa.
Sijui tatizo lako ni utambulisho au huduma?
maana kama umechukulia kisa cha huyo baba Mdogo yeye amekuwa akitoa
huduma zote ingawa ni kwa usiri mkubwa na kinachosaidia hapa ni kuwa huyo
mtoto kazaliwa Mkoa tofauti na ule anaoishi
 
Mtu wa Mwanza hawezi ongelewa Tanga??????
 
Mtu wa Mwanza hawezi ongelewa Tanga??????
Anaweza, tatizo la Kongosho ni Kuwa ikiwa utapita muda mrefu wa kufikia chuo
hajatambulishwa hayuko tayari kujiunga na hiyo Familia sasa nikichotaka kujua
kutoka kwake ni kuwa hata akipata huduma kutoka kwa mzazi wake huyo ambaye
hajamtambulisha bado hayuko tayari?
 
Baba paroko hapo ni upande zote...

imagine mie nakuletea mtoto sasa tena nilimpata wakati tuko
kwenye ndoa...na nimekuficha muda wote sidhani ka utaelewa kwa urahisi
 
:A S 27: :A S 27: Material sio kila kitu kwa mtu anayejitambua!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…