Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
1. Lissu na Mbowe watakosana. Kutakuwa na mgongano wa kimtazamo na kimwelekeo kati ya Mh. Lissu ambaye ni mtarajiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na Mwenyekiti wake Mh. Mbowe.
2. Kuna kiongozi wa dini ambaye atakuwa upande wa CCM na ataambatana na mgombea Urais wa CCM atakufa kabla ya Uchaguzi mkuu 2025.
 
Utabiri kuelekea 2025
Nitakula pilau na kuku wengi sana

Hizi tabiri
 
Acha utapeli. Huo sio unabii ni utapeli.

Tofautisha utapeli, unajimu, utabiri, uganguzi na unabii.
 
Hili la kufa tunakuomba ummue anaekaa na upande wa wabatili
 
Atakufa mgombea wa CCM? Tabiri hivyo basi na iwe
 
Ramli.com
 
Ningeshangaa kama huu utabiri usingemtaja Lisu na Mbowe.

Ni sawa na kutoa mapepo bila kumtaja Yesu.

Hizi ni chai tu za uchaguzi hamna la maana hapo
 
Pombe za mchana bila kula chakula hazijawahi kumuacha mtu salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…