The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
No. 1 sio utabiri maana things are obvious now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakika,watu wana macho ya kuona mbali.Wa kwanza umetimia, lissu na mbowe hapatoshi, wa pili sasa duh....
Naendelea kufuatilia utabiri🤔🤔1. Lissu na Mbowe watakosana. Kutakuwa na mgongano wa kimtazamo na kimwelekeo kati ya Mh. Lissu ambaye ni mtarajiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na Mwenyekiti wake Mh. Mbowe.
2. Kuna kiongozi wa dini ambaye atakuwa upande wa CCM na ataambatana na mgombea Urais wa CCM atakufa kabla ya Uchaguzi mkuu 2025.
Gwajima hawezi kua Rais wa Tanzania acheni utani basi kawe pia hawezi kurudiMunataka Kumuua Mchungaji Gwajima ( kiongozi wa dini) kisa tu ametabiriwa atagombea urasi Halafu munakuja kupima upepo na utabiri feki? Acheni hizo Ndugu zangu… mwenyewe dhamana ya uhai ni Muumba mwenyewe- mwacheni afanye kazi yake Kwa wakati wake bila ya nyie kujibebesha kazi zake…
Yote mema.Hapo ukute upo kwa shemeji yako unakuna tu pumbu wifi ya bure
Bei ya mchele itapanda,ni ubwabwa kila siku nchini.Raisi atakuwa Hashim Rungwe