Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025

Munataka Kumuua Mchungaji Gwajima ( kiongozi wa dini) kisa tu ametabiriwa atagombea urasi Halafu munakuja kupima upepo na utabiri feki? Acheni hizo Ndugu zangu… mwenyewe dhamana ya uhai ni Muumba mwenyewe- mwacheni afanye kazi yake Kwa wakati wake bila ya nyie kujibebesha kazi zake…
 
Naendelea kufuatilia utabiri🤔🤔
 
Hapo ukute upo kwa shemeji yako unakuna tu pumbu wifi ya bure
 
Gwajima hawezi kua Rais wa Tanzania acheni utani basi kawe pia hawezi kurudi
 
Lissu atakwenda kuishi Ubelgiji kuanzia kesho kutwa. Hapo alipo ana ticketi tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…