Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za mda huu wakuu.

Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada.

Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT

Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana
 
Kwani kuna juhudi gani za maana sana zinatakiwa mtu kuwa waziri Mkuu ?

Mihemko tu ya kisiasa ya CCM ikipanda, wanamchukua na kumpachika kwenye hiyo NAFASI.

Samia aliwekwa tu kuwa Makamu wa Rais.

Makinda aliwekwa tu kuwa Speaker.

Hakuna utaratibu au juhudi zozote unavyoweza kusema, mtu apite hivi na vile apate hizo nafasi.

Labda unatabiri mihemko na mawazo ya watu.
 
Mwenyekiti wa CCM atakavyo jisikia ndiyo inakuwa hivyo
Ndio maana hata Mwinyi hana motivation yoyote ya kumshauri mtu kuhusu upambanaji.

Maana alibebwa tu akawekwa. Hata kitabu chake hakina jambo la maana zaidi ya soga tu.

Yaani at least Lowasa unaweza kukaa ukamsikiliza, kuliko Mwinyi.
 
Lowasa ni kiongozi bora sana sizani kama kuna anae mkaribia kwa uweledi na uimara katika wote ukimtoa January makamba.

Sizani Kama kuna kiongozi atakuja kujiuzuru kulinda heshima yake kama EDO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi juhudi za ku discredit the PM we have zishindwe na zilegee. Nani kasema kubadilisha kazi kila siku ndio sifa ya kuwa na timu bora? Aliyepo amekosea wapi? Kazi sana. Siasa hizi zishindwe...tunataka nchi yetu ijengwe na sio kugawa keki kama kila mtu ameshiba
 
Back
Top Bottom