Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Mfano mtu kama Mpango, kuna utaratibu wowote unaweza kusema aliufuata au alipambana au alifanya jambo fulani akapanda ngazi mpaka akawa Makamu wa Rais ?Upo sahihi, kwani Majaliwa amefanya nini kushinda wengine?
Ni mtu kachukuliwa tu kama furushi kawekwa hapo na maisha yanaendelea.