Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

Ngoja tuendelee kufuatilia utendaji kazi wake unaleta ufanisi kiasi gani?!

Napenda mtu anayeweza kufanya kazi na maamuzi kwa utashi wake na yakaweza kukidhi haja ya wananchi.

Isiwe kuwa mtu tegemezi anayeamua kupitia majungu au kwa kuambiwa na wasaidizi.

Hatakama atapata inputs toka kwa wasaidizi lakini he or goes further and deeper na kuona validity ya swala husika ktk muktadha wake na tija.
 
Kama mchepuko wake ulishindwa kumpa hicho cheo ndio basi tena.
Imeisha hiyo!
 
Hata kama haumkubali siyo kwa kauli hizo 'brother" , kumbuka hata alichaguliwa from a dilpomatic point of view Mama alitafuta mtu asiye na makundi na mwenye historia ya Uaminifu na Uwajibikaji katika kazi usitake kudanganya watu kama wewe ni zao la Mafurushi sio kila mtu ni Furushi.
Mpango ndio Makamu takataka kuwahi kuwepo nchi hii. Ni mtu ambaye kwanza hakuna anachokiamini zaidi ya kumtumikia anayemlisha, pili hakubaliki ndani ya CCM mpaka kwa wananchi.

Naweza kumweka kundi moja na Ghalib Bilal ingawa Mpango ni gwiji la mnafiki kuliko Bilal.
 
Mpango ndio Makamu takataka kuwahi kuwepo nchi hii. Ni mtu ambaye kwanza hakuna anachokiamini zaidi ya kumtumikia anayemlisha, pili hakubaliki ndani mpaka kwa wananchi.
Wewe na wananchi wako wa Pluto ndo hamkubali Dr. Mpango wengine tunamwelewa vizuri tuu, hivi kwanza tangu lini kukawa na Makamu wa Raisi anayekubalika? ili iweje? siku zote nenda rudi sijawahi ona Makamu wa Raisi anayekubalika ile Post kwa Taarifa yako Imepooza, VP HATAKIWI KUWA NA KIRANGA KAZI YAKE NIKUMSAIDIA RAISI TUU PERIIIOD A.K.A CHAWA WA PREZIDAA ,JD ZA MAKAMU WA RAISI NI KUITIKIA, KUSHABIKIA KILA KITAKACHOFANYWA AU KUSEMWA NA PRESIDENT PAMOJA NA KUMALIZIA VIPORO VYA MHESHIMIWA NUKTA. Tangu kipindi ch kina Dr Ali Juma mpaka sasa inatambulika ni Post Mpoozo.
 
she always smiles, naona mtoa mada labda kajikita pande hizo.
 
Habari za mda huu wakuu.

Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada.

Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT

Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ummy mpambanaji na mpiga kazi, nami namwombea iwe hivyo kwake.

ila shingo yake ya upanga, yenye pingilipingili huwa inanichanganya sana.
 
Point yangu ni moja, nchi isiongozwe tena wanaume. Maana wamezidi ukatiri, ubinafsi, uzinzi, kuzaa watoto na kutelekeza.
 
Habari za mda huu wakuu.

Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada.

Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT

Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunaumuhimu gani kujadili ndoto zako? Nawewe utakuja kuwa nani??
 
Nani alikuambia Edo alijiuzuru kwa kupenda?? JK mtoto wa town,alimwambia andika barua,ikifika kwangu,nakataa usi resign,mmasai akakubali! Alishangaa anapelekewa majibu,kwamba JK amekubali ombi lako lakuachia ngazi!!
Acha stori za vijiweni mkuu. Leta ushahidi
 
Back
Top Bottom