Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

Sijasema alioepo ataondolewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mtu kama Mpango, kuna utaratibu wowote unaweza kusema aliufuata au alipambana au alifanya jambo fulani akapanda ngazi mpaka akawa Makamu wa Rais ?

Ni mtu kachukuliwa tu kama furushi kawekwa hapo na maisha yanaendelea.
Vice president furushi unajua ku obey authority?

In kabudi voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi umechukua mikoba ya utabiri wa nyota?
 
Kama Kassim Majaliwa aliyesema msikitini kuwa Rais yupo Ikulu anachapa kazi, wakati rais anajifia, kaweza kuwa Waziri Mkuu kabla na baada ya kauli hii, mbwa yeyote anayeweza kufunzwa wapi abweke na wapi akae kimya anaweza kuwa Waziri Mkuu.
 
Vyuma alivyonoa JPM
Ummy ni kati ya mawaziri walifundishwa na kukomazwa kiuongozi na shujaa
Ummy dada ya korona😃😃😃
Rest well John Pombe Magufuli
 
Trust me, huko tumeshatoka na haturudi tena. Wasagia kunguni wapo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana hata Mwinyi hana motivation yoyote ya kumshauri mtu kuhusu upambanaji.

Maana alibebwa tu akawekwa. Hata kitabu chake hakina jambo la maana zaidi ya soga tu.

Yaani at least Lowasa unaweza kukaa ukamsikiliza, kuliko Mwinyi.
Ila mwinyi alikula shushu mzee yule, imagine ni first generation ambaye hakuna popote alipambana na harakati za uhuru ila akiwa raisi wa pili wa JMT with no single struggle.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
2025 mama anamteua Ummy kuwa PM, inshallah
 
Kama Kassim Majaliwa aliyesema msikitini kuwa Rais yupo Ikulu anachapa kazi, wakati rais anajifia, kaweza kuwa Waziri Mkuu kabla na baada ya kauli hii, mbwa yeyote anayeweza kufunzwa wapi abweke na wapi akae kimya anaweza kuwa Waziri Mkuu.
Matusi sasa kijana wa Ben

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mtu kama Mpango, kuna utaratibu wowote unaweza kusema aliufuata au alipambana au alifanya jambo fulani akapanda ngazi mpaka akawa Makamu wa Rais ?

Ni mtu kachukuliwa tu kama furushi kawekwa hapo na maisha yanaendelea.
Hata kama haumkubali siyo kwa kauli hizo 'brother" , kumbuka hata alichaguliwa from a dilpomatic point of view Mama alitafuta mtu asiye na makundi na mwenye historia ya Uaminifu na Uwajibikaji katika kazi usitake kudanganya watu kama wewe ni zao la Mafurushi sio kila mtu ni Furushi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…