Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.
Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!
Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!