Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

Huyu hana unabii wowote ni chokora, mwizi na mgongaji. Tafuta post zangu humu JF kuhusu huu unabii bandia. Mimi ndiye mtu wa kwanza niliye mfumbua kuwa huyu anataka kuotumia dini kisiasa na kimanufaa.

Ile asilia yake ya ujambazi na ulaghai ndio utampeleka hadi aamue kufungua kanisa lake na aanze kuzoa 10% kutoka kwa wananchi masikini.
Kinachoonekana kwako ni chuki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, ni huo huo unabii wa kuona yajayo ndio ninaozungumzia hapa. Kwani wewe hujui kama siku zijazo utakufa? You surely do! Usichokijua ni timing ya hicho kifo chako. Nabii anapaswa atusaidie kutegua hii issue ya timing ya event. Asipoweza kulifanya hilo, basi hana sababu ya kujiita nabii.
Sikutaka kureply but hii yako imefanya nikuulize.

From it's written Genesis to Revelation in which verse nabii ametabiri siku ya kifo cha mtu au hata mtume Issa bin mariam Yesu mwana wa daudi aliwahi tabiri kifo cha mtu, siku wapi?.
 
Kama ni utabiri wa Magufuli, wengi walidhani hatamaliza mwaka wa kwanza! Acheni kusifia misikule
Kumbe wengi 'walidhani' ..sasa kwa taarifa yako Nabii Lema alioteshwa na akamwambia mfalme wazi bila chenga.

Hao 'waliodhani' kuwa hatamaliza mwaka walikuwa na ujasiri hata wa kupiga chafya mbele ya kayafa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).

Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!

Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.

Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!

Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona praise and worship imehamia side B
 
Wewe ni mpuuzi! Lema jambazi la kuiba magari au hata wewe ni wale wale
Zaidi ya Sabaya aliyepiga V8 ya 250+M kwa 60m only? Nani jambazi hapo? Jambazi yupo nyuma ya nondo anachezea spank za nyapara!

Bado jambazi Paulo mkolomije aliyevamia Clouds now anataka kukimbia nchi, ataminywa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unabii hauko hivyo, bhana! Yaani ukweli kwamba cheo ni dhamana au kusema ipo siku mimi, wewe au mtu mwingine atakufa nao ni unabii? You must be kidding! Kila mtu analijua hili. Tusilolijua ni timing yake, na hiki ndicho kinachohitaji unabii.

Nabii anazungumzia timing ya jambo kwa kubainisha vitu ambavyo ndivyo vitakuwa ishara kwamba muda wa jambo fulani kutokea umewadia!
Unavhokisema ndicho alichokifanya Lema.
 
Wewe ni mpuuzi! Lema jambazi la kuiba magari au hata wewe ni wale wale
Kumtukana Lema, haitakusaidia kitu. Kunena mabaya dhidi ya mtu hakuwezi kumfanya kuwa mwovu. Hata wewe, watu wanaweza kukuita ni muuaji lakini kama hujawahi kuwa muuaji, hutakuwa.

Lema hajawaki kushtakiwa kwa wizi hata wa pini, achilia mbali magari. Kesi zake zote zilikuwa za kisiasa. Kama aliiba gari lako halafu uliamua usiende popote, tuambie. Vinginevyo, inawezekana utakuwa umeanza kupatwa na uwendawazimu. Dalili mojawapo kubwa ya magonjwa ya akili ni kuona vitu ambavyo havipo.

Waombe ndugu zako wakupeleke hospitali yoyote ya magonjwa ya akili ili uwahi matibabu.
 
Kuna aliyejua mzee wetu mpendwa atarudi mavumbini zaidi ya ile ndoto ya prophet? Mbona ikawa? Bado kuna mengi sana..ambayo sijayamention hapa lakn hayo ni kwa uchache tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo ulikuwa hujui kama yangetokea

Yeye Hayati Kila siku Alikuwa anasema tumuombee maana ameingia kwenye vita ya kiuchumi AMBAYO ndo mbaya zaidi
 
Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).

Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!

Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.

Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!

Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ibariki CHADEMA
 
Wewe ndo ulikuwa hujui kama yangetokea

Yeye Hayati Kila siku Alikuwa anasema tumuombee maana ameingia kwenye vita ya kiuchumi AMBAYO ndo mbaya zaidi
Hii ilikuwa kabla hajaanza hata kutoa kauli za kutia huruma za 'kuombewa' mbele ya umma..kipindi hiko anakunywa damu za wanaompinga underground , ndoto ilishaotwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila unabii huwa unatimia hata kwa kuchelewa.

Rais wa darisalamu bado anatembea.
 
Back
Top Bottom