Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Kuna aliyejua mzee wetu mpendwa atarudi mavumbini zaidi ya ile ndoto ya prophet? Mbona ikawa? Bado kuna mengi sana..ambayo sijayamention hapa lakn hayo ni kwa uchache tu!!Siasa za hapa kwetu ukizifuatilia sana mbona unaweza ukajua kifuatacho!
Kweli lema anaona mbali tena mbali kwa kweli , lakini hio ya mzee wetu yule kuna watu waliona kabisa kingechoweza kutokea tokea 2019Kuna aliyejua mzee wetu mpendwa atarudi mavumbini zaidi ya ile ndoto ya prophet? Mbona ikawa? Bado kuna mengi sana..ambayo sijayamention hapa lakn hayo ni kwa uchache tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ndio ujue, jamaa ni prohet!Kweli lema anaona mbali tena mbali kwa kweli , lakini hio ya mzee wetu yule kuna watu waliona kabisa kingechoweza kutokea tokea 2019
Nini unachojua ndugu meneja?Hakuna kitu kama hicho, bora utulie tu kama hunauelewa na mambo ya kisiasa.
Angekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Tofauti na huyu anayetaka kukimbilia ufaransa? Bahati nzuri kinachoendelea huko namanga mpakani kinafurahisha.Angekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Hata Yesu (kupitia wazazi wake) alimkimbia mfale Herode!Angekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.
Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!
Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Braza kasome vizuri maandiko manabii na unabii. Kuna unabii aina kama 3 hivi: 1. Anayeona ya nyuma 2. Anayeona ya sasa 3. Anayeona yajayo na 4. Anayeona yote 3. Lema ni wa aina ya 3!Unabii hauko hivyo, bhana! Yaani ukweli kwamba cheo ni dhamana au kusema ipo siku mimi, wewe au mtu mwingine atakufa nao ni unabii? You must be kidding! Kila mtu analijua hili. Tusilolijua ni timing yake, na hiki ndicho kinachohitaji unabii.
Nabii anazungumzia timing ya jambo kwa kubainisha vitu ambavyo ndivyo vitakuwa ishara kwamba muda wa jambo fulani kutokea umewadia!
HaTa Yesu na wazazi wake walikimbia kukwepa wauajiAngekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Braza kasome vizuri maandiko manabii na unabii. Kuna unabii aina kama 3 hivi: 1. Anayeona ya nyuma 2. Anayeona ya sasa 3. Anayeona yajayo na 4. Anayeona yote 3. Lema ni wa aina ya 3!
Kama ni utabiri wa Magufuli, wengi walidhani hatamaliza mwaka wa kwanza! Acheni kusifia misikuleHakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.
Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!
Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na michadema uchwara hakuna anayejitambua hapo. Jinsi Magufuli alivyokuwa anapambana na mapapa hakuna mtu alijua kuwa atasurvive miezi 3 kweli alikaa sana miaka 6?Hakuna kitu kama hicho, bora utulie tu kama hunauelewa na mambo ya kisiasa.
Hilo liko wazi kabisaAnafuatia Sirro