Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
- Thread starter
-
- #21
Kinachoonekana kwako ni chuki tu.Huyu hana unabii wowote ni chokora, mwizi na mgongaji. Tafuta post zangu humu JF kuhusu huu unabii bandia. Mimi ndiye mtu wa kwanza niliye mfumbua kuwa huyu anataka kuotumia dini kisiasa na kimanufaa.
Ile asilia yake ya ujambazi na ulaghai ndio utampeleka hadi aamue kufungua kanisa lake na aanze kuzoa 10% kutoka kwa wananchi masikini.
Sikutaka kureply but hii yako imefanya nikuulize.Mkuu, ni huo huo unabii wa kuona yajayo ndio ninaozungumzia hapa. Kwani wewe hujui kama siku zijazo utakufa? You surely do! Usichokijua ni timing ya hicho kifo chako. Nabii anapaswa atusaidie kutegua hii issue ya timing ya event. Asipoweza kulifanya hilo, basi hana sababu ya kujiita nabii.
Kumbe wengi 'walidhani' ..sasa kwa taarifa yako Nabii Lema alioteshwa na akamwambia mfalme wazi bila chenga.Kama ni utabiri wa Magufuli, wengi walidhani hatamaliza mwaka wa kwanza! Acheni kusifia misikule
Naona praise and worship imehamia side BHakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.
Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!
Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpuuzi! Lema jambazi la kuiba magari au hata wewe ni wale waleKumbe wengi 'walidhani' ..sasa kwa taarifa yako Nabii Lema alioteshwa na akamwambia mfalme wazi bila chenga.
Hao 'waliodhani' kuwa hatamaliza mwaka walikuwa na ujasiri hata wa kupiga chafya mbele ya kayafa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah noma sana.Naona praise and worship imehamia side B
Zaidi ya Sabaya aliyepiga V8 ya 250+M kwa 60m only? Nani jambazi hapo? Jambazi yupo nyuma ya nondo anachezea spank za nyapara!Wewe ni mpuuzi! Lema jambazi la kuiba magari au hata wewe ni wale wale
Alikimbia kwa sababu, huenda aliona ambacho kilikuwa kinakuja mbele yake.Angekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Unavhokisema ndicho alichokifanya Lema.Unabii hauko hivyo, bhana! Yaani ukweli kwamba cheo ni dhamana au kusema ipo siku mimi, wewe au mtu mwingine atakufa nao ni unabii? You must be kidding! Kila mtu analijua hili. Tusilolijua ni timing yake, na hiki ndicho kinachohitaji unabii.
Nabii anazungumzia timing ya jambo kwa kubainisha vitu ambavyo ndivyo vitakuwa ishara kwamba muda wa jambo fulani kutokea umewadia!
Kumtukana Lema, haitakusaidia kitu. Kunena mabaya dhidi ya mtu hakuwezi kumfanya kuwa mwovu. Hata wewe, watu wanaweza kukuita ni muuaji lakini kama hujawahi kuwa muuaji, hutakuwa.Wewe ni mpuuzi! Lema jambazi la kuiba magari au hata wewe ni wale wale
Wewe ndo ulikuwa hujui kama yangetokeaKuna aliyejua mzee wetu mpendwa atarudi mavumbini zaidi ya ile ndoto ya prophet? Mbona ikawa? Bado kuna mengi sana..ambayo sijayamention hapa lakn hayo ni kwa uchache tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote majibu tu.Hivi hayati Sheikh Yahaya Hussein alikua nabii au mtabiri?
Mungu ibariki CHADEMAHakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.
Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!
Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna unabii wowoteHahah noma sana.
Anyway jamaa ni Nabii, ssio muda mgogo atachizika..!
Sent using Jamii Forums mobile app
King'ora kishawaka hili la mbowe kuwekwa siro muda wote. Yafaa tu kusogeza gari pembeniKuna aliyejua mzee wetu mpendwa atarudi mavumbini zaidi ya ile ndoto ya prophet? Mbona ikawa? Bado kuna mengi sana..ambayo sijayamention hapa lakn hayo ni kwa uchache tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaza sana fuvu mzee...ila walioko kwenye mifumo wanaona kinachoendelea!Hakuna unabii wowote
Hii ilikuwa kabla hajaanza hata kutoa kauli za kutia huruma za 'kuombewa' mbele ya umma..kipindi hiko anakunywa damu za wanaompinga underground , ndoto ilishaotwa!Wewe ndo ulikuwa hujui kama yangetokea
Yeye Hayati Kila siku Alikuwa anasema tumuombee maana ameingia kwenye vita ya kiuchumi AMBAYO ndo mbaya zaidi
Kwa kesi ya mchongo.Hata mbowe yuko nyuma ya nondo