Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
JPM alikuwa mgonjwa kabla hajagombea urais mwaka 2025, kuishi mpaka March 2021 ulikuwa ni kama muujiza.Kuna aliyejua mzee wetu mpendwa atarudi mavumbini zaidi ya ile ndoto ya prophet? Mbona ikawa? Bado kuna mengi sana..ambayo sijayamention hapa lakn hayo ni kwa uchache tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
JPM alikuwa mgonjwa kabla hajagombea urais mwaka 2025, kuishi mpaka March 2021 ulikuwa ni kama muujiza.
Pro CHADEMA umeamua kutukana hahaha.Wabongo akili zetu tunazijua sisi wenyewe. Ndiyo maana maelfu kwa maelfu waliandamana kwenda kwenye kijiji cha Samunge, Loliondo, kwa Babu!
MAtendo ya Magufuli na Ndugai hayakuwa ya kumfurahisha Mungu. Hata mimi nilijuwa Magufuli asingedumu, ila tofauti ya mimi na Lema ni kwamba sikuwa na platform ya kuongelea.Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.
Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!
Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli yako, Nachikia sana ULAGHAI, UWIZI NA UJAMBAZI.
MtabiriHivi hayati Sheikh Yahaya Hussein alikua nabii au mtabiri?
Pro CHADEMA umeamua kutukana hahaha.
Umedanganya hakuna siku wala mwaka uliotajwa.Agano la kale la biblia. Samweli 2:1-23.
Nabii Nathani alimtabiria mtoto wa Daudi aliezaa na mtoto wa mke wa Uria atakufa baada ya kumpeleka Uria mstari wa Mbele vitani kisha kumtwaa Mke wake.
mtoto hakumaliza ht wiki...
Daudi akafunga siku wiki nzima akisali na kuomba ili mwanae asife na still aka r.i.p.
Huu sasa ndo unabii, sio unabiri wa kutabiri kitu mpaka watu wanasahau then kinakuja kutokea then unasema ni unabiii...
Waamaleki wamepigwa za uso woote wamenagukia chaliHakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.
Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!
Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nabii hawezi kutabiri kila ujingambona hakutabiri ya tundu lisu mbona hakutabiri ya mbowe huyo ni prophet wa wachagga
Unabii wa Ndugai na Sabaya si juzi tu. Kama.ulisahau ni wewe.Agano la kale la biblia. Samweli 2:1-23.
Nabii Nathani alimtabiria mtoto wa Daudi aliezaa na mtoto wa mke wa Uria atakufa baada ya kumpeleka Uria mstari wa Mbele vitani kisha kumtwaa Mke wake.
mtoto hakumaliza ht wiki...
Daudi akafunga siku wiki nzima akisali na kuomba ili mwanae asife na still aka r.i.p.
Huu sasa ndo unabii, sio unabiri wa kutabiri kitu mpaka watu wanasahau then kinakuja kutokea then unasema ni unabiii...
Ukweli ndio huoHajawahi kupambana na papa yoyote, bali alikuwa analipa visasi kwa wale wenye nacho waliokuwa wanampuuza kabla ya kuwa Rais. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Fuatilia wewe halafu utabiri. Tuje tukupaishe kama lema. Kwani wewe hupendi sifa?Siasa za hapa kwetu ukizifuatilia sana mbona unaweza ukajua kifuatacho!
Wachaga wengi huwa na hisia kali za ubashiriHakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.
Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!
Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nabii hawezi kutabiri kila ujinga
Unabii hauangalii hisia zako zinasemaje unatwanga tu.Unabii ambao always ni negative na hata siku moja hauangazii mambo yawahusuyo wale walio upande wa anayejiita nabii sio unabii huo. Ni chuki.
Hata shekh yahya kwake ailiona giza mwache aishi hukoAngekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Unabii hauangalii hisia zako zinasemaje unatwanga tu.
Kwano unabii wa Biblia ulishawahi ona unatabiria matajiri wa dhahabu?? Tendeni wema mstabiriwe mabayaUnabii unaochagua uguse wapi katu sio unabii. Prophecies are both random and not about stating the obvious!