Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

JPM alikuwa mgonjwa kabla hajagombea urais mwaka 2025, kuishi mpaka March 2021 ulikuwa ni kama muujiza.

Wabongo akili zetu tunazijua sisi wenyewe. Ndiyo maana maelfu kwa maelfu waliandamana kwenda kwenye kijiji cha Samunge, Loliondo, kwa Babu!
 
Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).

Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!

Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.

Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!

Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!

Sent using Jamii Forums mobile app
MAtendo ya Magufuli na Ndugai hayakuwa ya kumfurahisha Mungu. Hata mimi nilijuwa Magufuli asingedumu, ila tofauti ya mimi na Lema ni kwamba sikuwa na platform ya kuongelea.

Magufuli alikengengeuka kama Mfalme wa Babylonian empire, Nebuchadnezzar. Hakuna namna angedumu. Hata busara ya kuiba fedha na uchaguzi hakuwa nayo. Unaibaje uchaguzi wote hadi Serikali za Mitaa na Wabunge? Mungu hawezi akakuacha, lazima urudishe namba
 
Agano la kale la biblia. Samweli 2:1-23.

Nabii Nathani alimtabiria mtoto wa Daudi aliezaa na mtoto wa mke wa Uria atakufa baada ya kumpeleka Uria mstari wa Mbele vitani kisha kumtwaa Mke wake.
mtoto hakumaliza ht wiki...
Daudi akafunga siku wiki nzima akisali na kuomba ili mwanae asife na still aka r.i.p.

Huu sasa ndo unabii, sio unabiri wa kutabiri kitu mpaka watu wanasahau then kinakuja kutokea then unasema ni unabiii...
Umedanganya hakuna siku wala mwaka uliotajwa.
 
Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).

Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!

Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.

Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!

Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Waamaleki wamepigwa za uso woote wamenagukia chali
 
Agano la kale la biblia. Samweli 2:1-23.

Nabii Nathani alimtabiria mtoto wa Daudi aliezaa na mtoto wa mke wa Uria atakufa baada ya kumpeleka Uria mstari wa Mbele vitani kisha kumtwaa Mke wake.
mtoto hakumaliza ht wiki...
Daudi akafunga siku wiki nzima akisali na kuomba ili mwanae asife na still aka r.i.p.

Huu sasa ndo unabii, sio unabiri wa kutabiri kitu mpaka watu wanasahau then kinakuja kutokea then unasema ni unabiii...
Unabii wa Ndugai na Sabaya si juzi tu. Kama.ulisahau ni wewe.
 
Hajawahi kupambana na papa yoyote, bali alikuwa analipa visasi kwa wale wenye nacho waliokuwa wanampuuza kabla ya kuwa Rais. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Ukweli ndio huo
 
Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).

Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!

Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.

Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!

Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga wengi huwa na hisia kali za ubashiri
 
Unabii unaochagua uguse wapi katu sio unabii. Prophecies are both random and not about stating the obvious!
Kwano unabii wa Biblia ulishawahi ona unatabiria matajiri wa dhahabu?? Tendeni wema mstabiriwe mabaya
 
Back
Top Bottom