Unabii wa nyerere utabiri wa shehe Yahaya anguko la CCM na udhaifu wa Samia katika utimilifu wa nyakati

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Nyerere alitoa UNABII huu Kwa usahihi kabisa namnukuu. Chama kisichosikiliza maoni ya wananchi kitalia machozi kisipate mtu wa kuyafuta. UNABII umetimia. Haya yanayoendelea ni matokeo ya ccm kutosikiliza maoni ya wananchi watu walitekwa nchi nzima tulipiga kelele sana humu mkashupaza shingo. Rais akajibu fyongo malalamiko ya utekaji. Spika akazuia mijadala ya utekaji na mahakama zikawafunga kina LISSU kiuonevu. Mdude akapotezwa spika akajibu ujinga mbele ya TV watu wakasema hewalaaa.

Shehe YAHAYA mtabiri maarufu aliyasema mapema kabla ya umauti wake namnukuu. Atatokea rais mchekeshaji atatawala KIPINDI kimoja halafu atakuja rais mwanamke baada ya hapo ccm itaanguka na wapinzani watachukua nchi. UTABIRI huu ukiangalia Kwa jicho la mbali unaenda kutumia au umeshatimia Kwa sehemu.*

Samia ni Rais mbaya kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu. Na historia itamwandika hivyo kuna ujinga mwingi anaufanya ambao hata yeye hajui kwanini anaufanya ila yote haya ni ili UNABII utimie fikiria Kwa mfano hotuba yake ya kuuwa taasisi kisa undugu nepotism alisema Kwa mdomo wake Cha ajabu yeye muda mfupi baadae akafanya nepotism ya hali ya juu kitu ambacho hakijawahi fanywa na rais yeyote yule Nyerere hakuteuwa wanae walikuja kuteuliwa na Marais wengine (refer makongoro) Mwingi hakumteuwa mwanae aliteuliwa na mkapa (refer Dr Mwinyi)

Kikwete hakumteuwa mwanae Ridhiwani aliteuliwa na MAGUFULI (refer Ridhiwani) Mkapa ndio kabisaaa watoto wake hata hawajulikani yule aliyekuwa karibu mkuu aliteuliwa na MAGUFULI. Sasa Samia kuingia tu madarakani tena Kwa wizi wa kura kamteuwa mtoto waziri mkwe waziri shemeji mshenga nk Sasa jiulize ile kauli yake ya nepotism na alichofanya je hawa ni Samia wawili tofauti au ni Samia mmoja? Jibu ni rahisi UNABII WA ANGUKO LA CCM UMETIMIA NA CCM INAANGUKA MWAKA HUU. UZI HUU UTABAKI KAMA ALAMA YA MKUSANYIKO WA NABII NA TABIRI ZINAZOENDA KUIPELEKA CCM KABURINI KAMA KANU. TUKUTANE D9.
 
utabiri uliotabiriwa miaka 5 iliyopita kutoka kwa watumishi wa Mungu wa kweli wa kuaminika,.

..unabii huo unasema ..hayo mateso yaliyopo na yatakayokuja yataisha ndani ya miaka 2 tu, ni mwaka 2026 mwishoni ..ama mwanzoni mwa mwaka 2027 ..ni yatadumu ndani ya miaka miwili tu.
.yakale yatapita baada ya kupita hicho kipindi cha mpito cha shida,yatazaliwa mapya mazuri..

ila sasa ndani ya hiyo miaka 2 itakuwa ya shida na mateso makubwa na machozi..itakuwa migumu na ya machozi..

Mungu tunaomba utuepushe mbali hayo mabaya yasitupate.
 
Nyerere alitoa UNABII huu Kwa usahihi kabisa namnukuu. Chama kisichosikiliza maoni ya wananchi kitalia machozi kisipate mtu wa kuyafuta. UNABII umetimia. Haya yanayoendelea ni matokeo ya ccm kutosikiliza maoni ya wananchi watu walitekwa nchi nzima tulipiga kelele sana humu mkashupaza shingo. Rais akajibu fyongo malalamiko ya utekaji. Spika akazuia mijadala ya utekaji na mahakama zikawafunga kina LISSU kiuonevu. Mdude akapotezwa spika akajibu ujinga mbele ya TV watu wakasema hewalaaa.

Shehe YAHAYA mtabiri maarufu aliyasema mapema kabla ya umauti wake namnukuu. Atatokea rais mchekeshaji atatawala KIPINDI kimoja halafu atakuja rais mwanamke baada ya hapo ccm itaanguka na wapinzani watachukua nchi. UTABIRI huu ukiangalia Kwa jicho la mbali unaenda kutumia au umeshatimia Kwa sehemu.*

Samia ni Rais mbaya kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu. Na historia itamwandika hivyo kuna ujinga mwingi anaufanya ambao hata yeye hajui kwanini anaufanya ila yote haya ni ili UNABII utimie fikiria Kwa mfano hotuba yake ya kuuwa taasisi kisa undugu nepotism alisema Kwa mdomo wake Cha ajabu yeye muda mfupi baadae akafanya nepotism ya hali ya juu kitu ambacho hakijawahi fanywa na rais yeyote yule Nyerere hakuteuwa wanae walikuja kuteuliwa na Marais wengine (refer makongoro) Mwingi hakumteuwa mwanae aliteuliwa na mkapa (refer Dr Mwinyi)

Kikwete hakumteuwa mwanae Ridhiwani aliteuliwa na MAGUFULI (refer Ridhiwani) Mkapa ndio kabisaaa watoto wake hata hawajulikani yule aliyekuwa karibu mkuu aliteuliwa na MAGUFULI. Sasa Samia kuingia tu madarakani tena Kwa wizi wa kura kamteuwa mtoto waziri mkwe waziri shemeji mshenga nk Sasa jiulize ile kauli yake ya nepotism na alichofanya je hawa ni Samia wawili tofauti au ni Samia mmoja? Jibu ni rahisi UNABII WA ANGUKO LA CCM UMETIMIA NA CCM INAANGUKA MWAKA HUU. UZI HUU UTABAKI KAMA ALAMA YA MKUSANYIKO WA NABII NA TABIRI ZINAZOENDA KUIPELEKA CCM KABURINI KAMA KANU. TUKUTANE D9.
Uongo. Sheikh Yahya alisema wapi na lini?
 
Wewe ni chizi kama hili hukulifahamu wala kulijua mapema. Samahani kwa kukuita hivyo kama utambulisho wako ulivyo humu ndani.
Ungekuwa na akili usingesema mengi ungeweka ushahidi hapa. Asikike akisema. Siyo mkishakunywa visungura vijiweni huko mnalishana na ujinga
 
Sahihi;

HAKUNA URAIS WA SAMUYA NA WALA HAKUNA NYWINYWINYWI
 
Ungekuwa na akili usingesema mengi ungeweka ushahidi hapa. Asikike akisema. Siyo mkishakunywa visungura vijiweni huko mnalishana na ujinga
Sawa... visungura havina matokeo tofauti na hizo wine, whiskeys unazokunywa chizi. Tusubiri matokeo kwanza then tutakuja tena hapa kutoa shuhuda kati ya maneno yako na ya watanzania yapi yametimia. Nakusalimu kaka
 
Visungura vinaharibu akili. Mi naomba tu ushahidi. Napenda lichama la majambazi life but siwezi kusema uongo.
 
By the time I arrived in Mbabane it was late afternoon, and I noted that the following day was a public holiday. Finding accommodation was my main concern as I wandered aimlessly along Allister Miller Street,
Mbabane's main road. As I passed Jabula Inn, a main road hotel, a lean man who looked to be in his late fifties or early sixties emerged.
Apparently he had detached himself from a group of people he was conferring within the hotel foyer. He wore a fez hat and was far too dark to be Swazi(most Swazis are light in complexion).

He made the first move, greeting me in Swahili. I returned his greeting, surging forward to shake his hand. There was no doubt the man I had just greeted was the renowned Nairobi-based Tanzanian astrologer,
Sheikh Yahya Hussein.
Now I remembered seeing his pictures in newspapers almost every day, advertising his trade, although I could never work out how he recognised someone like me he had never seen before. Hussein invited me to his room, cutting through a long queue of people who had come to consult him.

He was, as he frequently told the Swazi press, a prophet, faith-healer, palm-reader and fortune-teller, not merely an astrologer who could determine the influence of the planets on human affairs. He even told the local media that King Hussein of Jordan was one of his clients, and he provided them with a photograph of him
shaking hands with the monarch. This, of course, generated more business for him.
To my surprise, he knew quite a bit about my situation.

Hussein led me into his room with quick, short strides, nodding at people in the queue.
He was booked in Room 1 at Jabula Inn and had a room-within-a-room inside his quarters. This provided him with the space he he needed: one room for consultancy, the other for his private sleeping.

He invited me into his private room; it seemed there was someone else in the consultation room. A beautiful woman, about half Hussein's age, sat on the unkept bed, seemingly vegetating. She held a can of Castle Beer which seemed empty.

He wanted me to go and buy some articles for him.

On my return I picked up my paper bag and, being very tired, proceeded to the room Hussein had hired for me. It was there that I realised that some items were missing: the telex from Germany; the letter I had received from a friend, Amos Ole Chiwele, a refugee recognised by the UN; and the cover of my air ticket

I hastily returned to Hussein's room hoping to retrieve these items, which I nevertheless doubted could have fallen out of the packet. A thorough check under Hussein's bed revealed no trace of the missing items. Hussein supervised as I searched the bed, all the time claiming that nobody had touched my bag during my absence. I did not at anytime imply this might have occurred.
The items had unfortunately disappeared ,rather mysteriously.
 
Nyerere alitoa UNABII huu Kwa usahihi kabisa namnukuu. Chama kisichosikiliza maoni ya wananchi kitalia machozi kisipate mtu wa kuyafuta. UNABII umetimia. Haya yanayoendelea ni matokeo ya ccm kutosikiliza maoni ya wananchi watu walitekwa nchi nzima tulipiga kelele sana humu mkashupaza shingo. Rais akajibu fyongo malalamiko ya utekaji. Spika akazuia mijadala ya utekaji na mahakama zikawafunga kina LISSU kiuonevu. Mdude akapotezwa spika akajibu ujinga mbele ya TV watu wakasema hewalaaa.

Shehe YAHAYA mtabiri maarufu aliyasema mapema kabla ya umauti wake namnukuu. Atatokea rais mchekeshaji atatawala KIPINDI kimoja halafu atakuja rais mwanamke baada ya hapo ccm itaanguka na wapinzani watachukua nchi. UTABIRI huu ukiangalia Kwa jicho la mbali unaenda kutumia au umeshatimia Kwa sehemu.*

Samia ni Rais mbaya kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu. Na historia itamwandika hivyo kuna ujinga mwingi anaufanya ambao hata yeye hajui kwanini anaufanya ila yote haya ni ili UNABII utimie fikiria Kwa mfano hotuba yake ya kuuwa taasisi kisa undugu nepotism alisema Kwa mdomo wake Cha ajabu yeye muda mfupi baadae akafanya nepotism ya hali ya juu kitu ambacho hakijawahi fanywa na rais yeyote yule Nyerere hakuteuwa wanae walikuja kuteuliwa na Marais wengine (refer makongoro) Mwingi hakumteuwa mwanae aliteuliwa na mkapa (refer Dr Mwinyi)

Kikwete hakumteuwa mwanae Ridhiwani aliteuliwa na MAGUFULI (refer Ridhiwani) Mkapa ndio kabisaaa watoto wake hata hawajulikani yule aliyekuwa karibu mkuu aliteuliwa na MAGUFULI. Sasa Samia kuingia tu madarakani tena Kwa wizi wa kura kamteuwa mtoto waziri mkwe waziri shemeji mshenga nk Sasa jiulize ile kauli yake ya nepotism na alichofanya je hawa ni Samia wawili tofauti au ni Samia mmoja? Jibu ni rahisi UNABII WA ANGUKO LA CCM UMETIMIA NA CCM INAANGUKA MWAKA HUU. UZI HUU UTABAKI KAMA ALAMA YA MKUSANYIKO WA NABII NA TABIRI ZINAZOENDA KUIPELEKA CCM KABURINI KAMA KANU. TUKUTANE D9.
Kwa ujumla Dkt Samia ni moja ya Rais aliyependwa sana tena sana na wananchi. Ila uharibifu kwake ulianza tu pale alipoanza kuonesha chuki ya moja kwa moja kwa mtangulizi wake na tangu kipindi hicho mpaka leo anachukiwa kwa 100% na hana mtetezi. Unakuta hata leo yeye anajua hapendwi ila chawa wanamdanganya kusema hao ni wachache hahaha 😂.
 
Kut 3:7-9
BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao; nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi. Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikilia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.
MENE MENE TEKELI NA PERESI

Maandishi yenyewe ni: ‘MENE, MENE, TEKELI, PARSINI.’ Na hii ndiyo maana yake: MENE maana yake, Mungu amehesabu siku za ufalme wako na kuukomesha. TEKELI maana yake, wewe umepimwa katika mizani, nawe ukaonekana huna uzito wowote. PERESI maana yake, ufalme wako umegawanywa kati ya Wamedi na Wapersi
 
Back
Top Bottom