Kwa wewe Mwanaume unapendelea ipi kati ya hizi mbili A/B, nawewe Mwanamke unapenda mwenza wako avae ipi kati ya hizi mbili?
View attachment 3041595
Na bado tunaamini kizazi hiki cha boxer ndio kitadai katiba mpya, labda tuangamie kama kizazi cha Nuhu kije kingine.
Ndiyo shida ya BB unaonekana kama umevaa chupi hivi..
Halafu unaibana machine inakuwa haiko comfortable...