Unachagua ipi kati ya hizi mbili?

Unachagua ipi kati ya hizi mbili?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kwa wewe Mwanaume unapendelea ipi kati ya hizi mbili A/B, nawewe Mwanamke unapenda mwenza wako avae ipi kati ya hizi mbili?

Screenshot_20240713-201822_1.jpg


Tiririka....
 
Mimi A ndiyo recommended japo B huwa navaa tena klein.
 
B unaonekana kama umevaa chupi hivi..

Halafu unaibana machine inakuwa haiko comfortable...
 
A .Kuna stori moja niko job nikawa nimetinga zile tatu kwa 10 .Sasa kuinama inama na heka heka kumbe boxer inachungulia .Ka dada duu kamoja kakaropoka yaani .... badogo unavaa boxer za bei rahisi hivyo.Kalinipiga kwenye moyo.Nikajitutumua kukajibu uvae boxer ya milioni au ya elfu mbili wote mtakufa tu.Ila nilivyotoka kwa namna dongo lilivyoniiingia nikaenda kutafuta 2 za Ten ,Ten.
 
A ya Mabasha,
B ni ya wasenge na makuchu

Ukweli ndo huo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom