LGE2024 Unachagua Wapinzani Serikali ya Mtaa Ili wakufanyie nini wakati Serikali Kuu ni ya CCM?

LGE2024 Unachagua Wapinzani Serikali ya Mtaa Ili wakufanyie nini wakati Serikali Kuu ni ya CCM?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwa Mfumo wa Tanzania Serikali za Mitaa ni tegemezi kwa Serikali Kuu hivyo zinatekeleza Ilani ya chama kinachotawala kwa wakati huo

Sasa ukichagua Chadema au ACT wazalendo bado utakuwa umechagua CCM ile ile kwa sababu ndiyo Ilani yake inatawala

Sasa kwanini ujihangaishe badala ya kuchagua tu CCM Moja kwa Moja kwa Sababu Utake usitake Ilani ni Ile ile

Wanasiasa wa Zanzibar kwa sababu Wana Akili kubwa kitambo sana hili swala walishaliona wakaamua Chaguzi zote zifanyike wakati Mmoja

Kwahiyo Uchaguzi huu ni kuchagua Watu tunaowapenda tu iwe kwa sura au muonekano lakini Ilani ya Uchaguzi ilishachaguliwa 2020

Ukiwa Mjinga unaweza kupoteza Muda wako ukadhani unachagua chama kumbe CCM ilishachaguliwa kitambo 😀😀

Makamanda mnaweza kukasirika lakini Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu wa mbinguni 🐼
Pambafff wewe na ukoo wako wote! Kwamba nchi ni mali ya ccm?
 
Sasa kuna haja gani ya vyama vingi wakati ilani ni ya chama kimoja?😳🤔
Chama kinachoshinda kinaachwa kilete Maendeleo ndio sababu Shujaa Magufuli alizuia Mikutano ya Siasa kabla ya uchaguzi 😂😂
 
Hata Vyama vya Upinzani ni Mali ya CCM kama unabisha muulize mchungaji Msigwa 😀
Wewe ni mpuuzi kama walivyo wenzio,hata kama una kaelimu nyemelezi bado hakijakusaidia...endelea kuipigia upatu ccm,itakuoa siku moja.
 
Back
Top Bottom