Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo Kama unavyoshangaa, nasi tunawashngaa maccm nchi nzima uzinduzi wa kampeni hakuna sera zaidi ya matusi, vijembe kwa viongozi wa chademaKwa Mfumo wa Tanzania Serikali za Mitaa ni tegemezi kwa Serikali Kuu hivyo zinatekeleza Ilani ya chama kinachotawala kwa wakati huo
Sasa ukichagua Chadema au ACT wazalendo bado utakuwa umechagua CCM ile ile kwa sababu ndiyo Ilani yake inatawala
Sasa kwanini ujihangaishe badala ya kuchagua tu CCM Moja kwa Moja kwa Sababu Utake usitake Ilani ni Ile ile
Wanasiasa wa Zanzibar kwa sababu Wana Akili kubwa kitambo sana hili swala walishaliona wakaamua Chaguzi zote zifanyike wakati Mmoja
Kwahiyo Uchaguzi huu ni kuchagua Watu tunaowapenda tu iwe kwa sura au muonekano lakini Ilani ya Uchaguzi ilishachaguliwa 2020
Ukiwa Mjinga unaweza kupoteza Muda wako ukadhani unachagua chama kumbe CCM ilishachaguliwa kitambo 😀😀
Makamanda mnaweza kukasirika lakini Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu wa mbinguni 🐼
Ukisikia utahila ndio huu. Serikali kuu haita ni andikia baruwa ya utambulisho nikienda kufunguwa account bank. Serikari kuu haitaniambia kodii zangu zimetumikaje zaidi ya kunilazimisha kulipa kodi. Serikali kuu haijui mimi naishi wapi na kuna changamoto gani . Hayo ndio Serikali ya mtaa ,kijiji na halimashauri zitanifanyia. Vitu unavyo takiwa kujuwa ukiwa la tatu wewe mpaka unazeheka hujui. Ukisha kuwa chawa wewe ni mwendawazimu tu.Kwa Mfumo wa Tanzania Serikali za Mitaa ni tegemezi kwa Serikali Kuu hivyo zinatekeleza Ilani ya chama kinachotawala kwa wakati huo
Sasa ukichagua Chadema au ACT wazalendo bado utakuwa umechagua CCM ile ile kwa sababu ndiyo Ilani yake inatawala
Sasa kwanini ujihangaishe badala ya kuchagua tu CCM Moja kwa Moja kwa Sababu Utake usitake Ilani ni Ile ile
Wanasiasa wa Zanzibar kwa sababu Wana Akili kubwa kitambo sana hili swala walishaliona wakaamua Chaguzi zote zifanyike wakati Mmoja
Kwahiyo Uchaguzi huu ni kuchagua Watu tunaowapenda tu iwe kwa sura au muonekano lakini Ilani ya Uchaguzi ilishachaguliwa 2020
Ukiwa Mjinga unaweza kupoteza Muda wako ukadhani unachagua chama kumbe CCM ilishachaguliwa kitambo 😀😀
Makamanda mnaweza kukasirika lakini Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu wa mbinguni 🐼
Nimekupa A kwenye uchambuzi LAKINI ushauri/hitimisho ulilotoa ni bovu: zero. Na kwa vile 1x0 ni 0 basi bandiko lote ni 0.Kwa Mfumo wa Tanzania Serikali za Mitaa ni tegemezi kwa Serikali Kuu hivyo zinatekeleza Ilani ya chama kinachotawala kwa wakati huo
Sasa ukichagua Chadema au ACT wazalendo bado utakuwa umechagua CCM ile ile kwa sababu ndiyo Ilani yake inatawala
Sasa kwanini ujihangaishe badala ya kuchagua tu CCM Moja kwa Moja kwa Sababu Utake usitake Ilani ni Ile ile
Wanasiasa wa Zanzibar kwa sababu Wana Akili kubwa kitambo sana hili swala walishaliona wakaamua Chaguzi zote zifanyike wakati Mmoja
Kwahiyo Uchaguzi huu ni kuchagua Watu tunaowapenda tu iwe kwa sura au muonekano lakini Ilani ya Uchaguzi ilishachaguliwa 2020
Ukiwa Mjinga unaweza kupoteza Muda wako ukadhani unachagua chama kumbe CCM ilishachaguliwa kitambo 😀😀
Makamanda mnaweza kukasirika lakini Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu wa mbinguni 🐼
Haya sasa ndio matope ninayozungumza. Ilani ni ujinga mtupu, tunatakiwa kuwa na dira ya Taifa na sio huu ujinga2015 Jiji la DSM lilikuwa chini ya Chadema, walifanya nini zaidi ya kutekeleza ilani ya CCM ikiwemo kuhamisha Stand Kuu ya mabasi ya mkoani kuipeleka Mbezi!
Si wanatuona wajingaTume za kuchunguza ufisadi zinaundwa nyuma ya mikamera majibu ya tume nyuma ya pazia
Commission of inquiries are for the public interest not personal uses
Hili ndilo swali la kujiuliza wakati huyo mwenyekiti wa kijiji wa upinzani hana hata nguvu ya kuita cartapiller likwangue uchochoroKwa Mfumo wa Tanzania Serikali za Mitaa ni tegemezi kwa Serikali Kuu hivyo zinatekeleza Ilani ya chama kinachotawala kwa wakati huo