LGE2024 Unachagua Wapinzani Serikali ya Mtaa Ili wakufanyie nini wakati Serikali Kuu ni ya CCM?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hilo ndio tatizo kubwa, juzi USA, jana Botswana, leo Mozambique Kesho itakuwa sijui wapi, zingatia ulipo simama, upo Tanganyika master hayo ya US waachie wao... huku hakuna wachina wazungu, waarabu, wahindi, Latinos, Persians n.k kwenye system moja.... upo eneo la maziwa makuu mkuu, tena TZ inakauafadhari kidogo kuzidi dada zake UG, Rwanda, Burundi... nk

Dukani unapata ulicholipia...kila bidhaa ina Gharama zake, upo tayari kuzilipia kwa vitendo?
 
Wewe kumbe ni BOGA SANA sikujua?? Kwahiyo vyama vingi vipi kwanini???

UJINGA NI MZIGO πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Punguza uchawa.
 
Hofu ya CCM ni nini wakati taratibu za kuharibu uchaguzi kama ule wa 2019 zimeshakamilika?
Subirini kutangaza ushindi wa Kishindo!
 
Ukiangalia ni ujinga wa Karne ,hata ukichagua Mbunge au diwani ni Yale yake na Serikali ikiamua kuwaadhibu itafanya hivyo na hawana Cha kufanya
 
Kwani tukichagua wapinzani wakasimamia Sera na kusimamia ilani ya CCM ni dhambi? Kwa kuwa hakuna Sera au ilani ya chama inayoelekeza kuchinja watu zote zinaelekeza kuwaletea maendeleo wananchi,hata CCM yenyewe ambayo iko madarakani Sera zake nyingi na ilani yake imeigiza kutoka kwa wapinzani na inazifanyia kazi.
 
Ili tusilipishwe 5000 ya mihuli na mikopo ya halmashauri isitolewe kiupendeleo ndio maana watu wanataka upinzani
 
Mimi nachagua upinzani ili mwakani niiondoe sisiemu madarakani. Ushindi wa chadema kwanye serikali za mitaa ni mwanzo wa kupata maendeleo kwenye mitaa yetu
 
Ingekiwwa hivyo basi hata watoto wasingeandikishwa la Kwanza Badala yake wangepelekwa Moja Kwa Moja chip kikuu🀣😭😭
 

kwani ushajua ni chama gani kitashinda uchaguzi mkuu mwakani?

YESU NI KRISTO
 
Akili mgando hizi kwa niaba ya double kick
 
Dogo Unajidaigi una akili lakini ni empty headed Kwani mwakani hakuna uchaguzi? Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…