LGE2024 Unachagua Wapinzani Serikali ya Mtaa Ili wakufanyie nini wakati Serikali Kuu ni ya CCM?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tume ya uchaguzi imeshaamua mshindi ni nani mimi kura naenda kupiga ya nini.
 
Dogo Kama unavyoshangaa, nasi tunawashngaa maccm nchi nzima uzinduzi wa kampeni hakuna sera zaidi ya matusi, vijembe kwa viongozi wa chadema
 
Ukisikia utahila ndio huu. Serikali kuu haita ni andikia baruwa ya utambulisho nikienda kufunguwa account bank. Serikari kuu haitaniambia kodii zangu zimetumikaje zaidi ya kunilazimisha kulipa kodi. Serikali kuu haijui mimi naishi wapi na kuna changamoto gani . Hayo ndio Serikali ya mtaa ,kijiji na halimashauri zitanifanyia. Vitu unavyo takiwa kujuwa ukiwa la tatu wewe mpaka unazeheka hujui. Ukisha kuwa chawa wewe ni mwendawazimu tu.
 
Huwezi kimbia wakati hujatembea. Safari ni hatuavna huanza moja inafuata nyingine.
 
Nimekupa A kwenye uchambuzi LAKINI ushauri/hitimisho ulilotoa ni bovu: zero. Na kwa vile 1x0 ni 0 basi bandiko lote ni 0.

Kura ni uchaguzi (choice). Sasa kama choice haipo unatarajia mtu mwenye akili apige kura ya nini? Ili iwe nini?

Ungejiongeza na kusema: usiwe mjinga; usijihangaishe kupiga kura. Kivyovyote vile CCM ilishachaguliwa na ndiyo itakayounda serikali na kutekeleza ilani yake. hivyo, kusota juani ili upige kura ni ujinga usio kifani - courtesy wisdom from johnthebaptist, period.
 
2015 Jiji la DSM lilikuwa chini ya Chadema, walifanya nini zaidi ya kutekeleza ilani ya CCM ikiwemo kuhamisha Stand Kuu ya mabasi ya mkoani kuipeleka Mbezi!
Haya sasa ndio matope ninayozungumza. Ilani ni ujinga mtupu, tunatakiwa kuwa na dira ya Taifa na sio huu ujinga
 
Hili ndilo swali la kujiuliza wakati huyo mwenyekiti wa kijiji wa upinzani hana hata nguvu ya kuita cartapiller likwangue uchochoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…