Hata mwerevu akiwaza kwamba anagari na baadae akalipata maanayake ni kwamba mwerevu amewaza na limemtokea.Mkuu,
Ukiwaza umedondokewa na ukuta au Mti na ikakutolea ndio utaamini..
ππ
Kweli mkuuHata mwerevu akiwaza kwamba anagari na baadae akalipata maanayake ni kwamba mwerevu amewaza na limemtokea.
Hivyo suala la kuwaza sio mjinga tu pekes kwamba akiwaza linamtokea bali hata mwerevu pia akiwaza linamtoke.
Hivyo suala la kuwaza na matokeo halikufungwa kwa wajinga pekee bali hata werevu.
.hivyo alitakiwa aseme kwamba
ALIWAZALO MTU NDILO LITAKALOMTOKEA.
Watakaoelewa mada yako ni watu waliobarikiwa kuwa na jicho la tatu. Wenzangu na mm watatoka kapaKatika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake.
Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa.
Nilipotarget Kupata kile kitu ninaweka Affirmation au udhihirisho yaani I felt kile kitu Kama nimekipata na nikaandika katika diary yangu ya simu na. Kushukuru Sana.
Siku chache Kama wiki mbili kile kitu nimekipata Kama nilivyopanga.
So hapa nimegundua kuwa ili postive Affirmation ifanye Kazi unabidi kubalance Nguvu yako ya mtetemo vibration na frequency zako na ukijisikia muitikio basi soon as possible unapata unachokihitaji usifanye utani unajua ukifanya utani huwezi pata matokeo chanya lazima vibration na frequency ziendane.
Ulimwengu una Siri Sana there's a lot to learn in this world.
Nasogea sogea mdogo mdogoWewe tunaenda pamoja.
Bila shaka umeanza kupiga hatua kufanikisha hilo?
Ninachokiwaza, ninachokifikira na kukiongelea sana nitakipata...Hii kitu ni kweli kabisa, ipo inafanya kazi....2023 mwishoni kuna mambo nilijiwazia, nikawa najisemea nikiwa peke yangu, nikaandika katika kinote book.... Kwamba kabla ya 31 dec 2024 ninataka hiki, na hiki na hiki.
I thank God and my self hadi hapa 80% vimekua hivyo.
Last week, kuna mtu nliongea nae ana shida sanaa nikaahidi kusaidia laki na nusu huo muda naahidi account ina vumbi πΉπΉπΉπΉ ila nikaahidi kwa kujiamini kabisa nitatoa laki na nusu. Hata shilingi 100 sina
Baada ya kukata simu nikaongea kwa sauti, sio sala niliongea tu "Mungu ukinipa mtihani unipe na majibu" nikalala....nyieee nimeitiwa kazi za hela sehemu mbili, na ahadi yangu ni kuwa laki na nusu nitaitoa msaada kama nilivoahidi, Mungu kanipa mtihani na majibu yani.
Law of attraction ipo inafanya kazi....jinenee mazuri muda wote.
Kabisa..... Na ukikaa kujiwazia negative, matatizo tu na kukosa shukrani, matatizo yanakuja yamepanga foleni yani.
Ndio hivyo hivyo, vya ovyo vitamfata na atavipata.....Universe inakupa unachotaka
Give me some hints please, ama unisimulie jinsi unavyopiga hatua kuelekea huko.Nasogea sogea mdogo mdogo
Umeajiriwa au umejiajiri?Give me some hints please, ama unisimulie jinsi unavyopiga hatua kuelekea huko.
Hii kitu ni kweli kabisa, ipo inafanya kazi....2023 mwishoni kuna mambo nilijiwazia, nikawa najisemea nikiwa peke yangu, nikaandika katika kinote book.... Kwamba kabla ya 31 dec 2024 ninataka hiki, na hiki na hiki.