safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Hata mwerevu akiwaza kwamba anagari na baadae akalipata maanayake ni kwamba mwerevu amewaza na limemtokea.Mkuu,
Ukiwaza umedondokewa na ukuta au Mti na ikakutolea ndio utaamini..
😔😔
Hivyo suala la kuwaza sio mjinga tu pekes kwamba akiwaza linamtokea bali hata mwerevu pia akiwaza linamtoke.
Hivyo suala la kuwaza na matokeo halikufungwa kwa wajinga pekee bali hata werevu.
.hivyo alitakiwa aseme kwamba
ALIWAZALO MTU NDILO LITAKALOMTOKEA.