Unachowaza unachofikiria, sana na unachokiongea sana ndiyo utapata katika Maisha yako

Unachowaza unachofikiria, sana na unachokiongea sana ndiyo utapata katika Maisha yako

Kwa ambaye anapata ugumu kumuelewa mleta mada soma hivi vitabu kwa mtiririko ufuatao...

1. Why we do what we do in, in life and business (how habits influence our actions)
2. Power of subconscious mind (Joseph Murphy)
3. The power of Neuroplasticity
Unaweza kuongezea...hivi vitakupa mwanagaza namna mind yako inavyofanya kazi na kupata matokeo unayoyapata sasa.....

Ukimaliza hivyo hapo juu, tafuta hivi hapa kuanza kufanya self awakening..
1. Law of attraction
2. The secret..
Unaweza kuongezea vingine.....
Wasikilize Law of attraction speakers....kama.
1. Bob Proctor
2.Neville Goddard
Unaweza ongezea wengine....
 
Umetoa muongozo mzuri Sana.
 
Natamani kurusha mwewe na ni kitu nakiwaza sana .Sasa kwa mujibu wa bandiko lako hili mbona bado kwangu
Wewe vibration na frequency zako zinakupeleka jela or milembe kwa mujub wa bandiko hili😂
 
Aiseee kuna cha kujifunza humu bila shaka
 
Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake.

Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa.

Nilipotarget Kupata kile kitu ninaweka Affirmation au udhihirisho yaani I felt kile kitu Kama nimekipata na nikaandika katika diary yangu ya simu na. Kushukuru Sana.

Siku chache Kama wiki mbili kile kitu nimekipata Kama nilivyopanga.

So hapa nimegundua kuwa ili postive Affirmation ifanye Kazi unabidi kubalance Nguvu yako ya mtetemo vibration na frequency zako na ukijisikia muitikio basi soon as possible unapata unachokihitaji usifanye utani unajua ukifanya utani huwezi pata matokeo chanya lazima vibration na frequency ziendane.

Ulimwengu una Siri Sana there's a lot to learn in this world.
Mkuu naomba nisaidie na hii imekaaje, mimi nina kampuni yangu inafanya kazi ya kutoa huduma kwenye moja ya benki hapa mjini. Sasa kuna dada fulani nilitokea tu kuvutiwa naye ila sikuwahi kumwambia nilikuwa najikaza kisabuni, sasa nakumbuka kuna siku tena ilikuwa jumatatu kuamkia jumanne nitaota nipo ofisini kwangu na yule dada akanipigia akaniambia nije ofisini kwake nikaenda nikafanya kazi then akanipa elfu 50. Kweli kabisa asubuhi tu nilivyo amka akanipigia simu kwamba niende ofisini kwake saa sita nilienda na nikafanya kazi na akanipa hela ile ile, Je hii inaitwaje ?
 
Endelea kuweka nguvu katika hilo eneo utapata zaidi ya hapo unaweza kuwa na telepath power -Kama alivyoelezea mdau mmoja hapo juu.

Telepath meanse -ni ule uwezo wa kusafirisha mawazo yako ili yaendane na MTU Fulani.

So stay in positive thinking.
 
Back
Top Bottom